Picha: Ziara ya Nape mkoani Kilimanjaro

Picha: Ziara ya Nape mkoani Kilimanjaro

Duh CCM kwa kweli poleni pale juu kwa kuhesabu vichwa ni watu 34 kata nzima ni hao tu mmh
 
We Ciello mtu akiwa mbaya ndio watu wanakuwa wengi?Kweli Taifa limepoteza mwelekeo
 
Hongera kwa kazi kubwa Nape kaza moyo utachukua udiwani hapo.
 
Maeneo ya wachagga ni tofauti sana na watu wanavyodhania. Wachagga humchagua yule anayewasaidia hata kama wengine wote mtasema ni "fisadi". Barabara ya Tarakea na kasheshe ya Mramba haikuzuia Mramba kuchaguliwa. Halafu kuna haya mambo ya "machame" "wamarangu" "wakibosho" na "wa" zingine nyingi tu. Siasa za uchagani ni pasua kichwa. Mengi na Mbowe ni Marafiki lakini ukoo wa kina Mengi ni CCM wa kutupwa pamoja na Reginald mwenyewe.
 
Hapana huwezi niambia niwatake radhi ninachozungumzia ni uharisia kama picha zinavyojieleza pia fuatilia mkutano wa CCM jangwani asilimia kubwa walikuwa ni akina dada na akina mama, mi ushauri wangu kwako kama umekubaliana na vuguvugu la mabadiriko jitahidi kutoa elimu kwa mabinti wenzio unaoona bado hawajahamasika na kwa pamoja tutajikomboa toka kwa mkoloni mweusi CCM.


Ah mimi ninapita tu
 
huko kwetu aisee kama watu wenyewe ndo hao hakuna unyomi wowote acha na wale aliosafiri nao... hii ni hulka yetu usiachie pesa ikupite akili kichwani mwako...

chezea wachaga wewe! Hapo wamepewa hela waende kuuza sura lakini walishajua long time kwamba "kula ccm, kura cdm!"
 
Huu hapa chini (umri wa vibibi hivi) ndio haswa ndio umri wa CCM..


 
Watu wa Kilimanjaro naomba wamhoji nape anazisemeaje kauli zake hatari za kibaguzi zenye misingi ya ukanda na ukabila. aliwahi kusema chadema ni chama cha wachaga.

Sasa aulizwe ana kauli gani kuhusu sera zake hizo za kuwabagua wachaga. Ni lazima abanwe. anawaambiaje wachaga walioko CCM? Je wamefanya makosa kuwa CCM?
Halafu nadhani hayo ni maeneo ya huko kwa Mramba,wajinga ndo waliwao.Kumbe aliposema ikibidi wale majani ili ndege ya rais inunuliwe na wao kweli waliridhika?Nachukia sana e watanzania wenye kuuona umasikini kama vile ni utamaduni wao.
 
Ya leo kwa Nape ni kali. Yaani wanaCCM wote meno yameng'oka ndiyo anatambia!!! Eti wanachama wakongwe. Sijui ndiyo wanalia au wanacheka????

hii nimeipenda,wazee wamelazimishwa kuonesha meno
 
Back
Top Bottom