Picha: Ziara ya Nape mkoani Kilimanjaro

Ya leo kwa Nape ni kali. Yaani wanaCCM wote meno yameng'oka ndiyo anatambia!!! Eti wanachama wakongwe. Sijui ndiyo wanalia au wanacheka????
 
tatizo la siasa ndo maana watu wanaita siiii hasa. ushabiki si ushabiki, ukuwadi si ukuwadi. kama vile simba na yanga. tusikate tamaa mabadiliko lazima kwa sababu dunia inabadilika pia, leo hivi kkesho vile
 
Hayo ndio masalia ya CCM mkoani kilimanjaro, kazi yao kubwa ni kulinda magofu mengi ya ofisi za CCM.

Hakuna mchaga mwenye akili ambaye ana muda wa kuichagua CCM kipindi hiki, labda kama CCM inamlisha, inamvisha na kumpa mahali pa kulala.
 
Kilimanjaro CCM dam dam...
Nape aje agombee ubunge uku Kibosho
 
Rombo kuna lami barabara kuu inayounganisha Rongai hadi Nairob
warombo wajanja walimpokea JK na Mramba kwa wingi lakini kura hawakumpa Mramba
na hela yake walikula vile vile hata nape waliopo wamefuata mshiko na sio kampeni
katika picha waliopo ni kina mama na vikongwe zaidi.
 
Hatuwezi kulikomboa taifa hili bila kuwabadilisha wanawake kwani inaonekana washabiki wakubwa wa CCM ni akina mama na wasichana kama picha zinavyojionyesha.
umeongea ukweli 100%. baada ya uchaguzi wa 2010 jk aliwashukuru wakina mama na alimsifia sana sophia simba
 
Watu kwenye picha hawafiki hata mia moja. Ni wachache sana!

Kinachoonekana hapa ni kutokubalika kwa CCM Rombo, na si vinginevyo.
 

Kitu KINACHOSIKITISHA ni KUHUSU JINSI Nchemba na Nnauye walivyokuwa Wanatukana wakati wa CHADEMA na ile M4C4
Ilikuwa inanihuzuhunish kweli kusikia VIJEMBE na CHUKI za KABILA...

Ni kama Wachagga ni Watu wa KARNE NYINGINE; Lakini Angalia alivyo Anancheka anasikilliza habaei za CCM alikin hatusikia hayo Malumbano ya 4C4 hawa ni vijana wa CCM wasomi Mwingulu MCHEMBA na Mwenzake NAPE NNAUYE

Chuki za kichama hazileti cchuki... Lakini napongeza WAMEKUWA KIMYA yeye na NCHEMBA;
 
Back
Top Bottom