Picha: Ziara Amos Makalla Naibu Waziri, Habari, Utamaduni na Michezo

Hapa leo mmeachiwa wenyewe TCU mpimane ujinga. Wenzenu wanasonga mbele nyie kutwa majungu wavaa shanga.
 
Wewe Inaishi Tanganyika and still out-dated... GO HERE na utajua habari hizi sio za zamani
... Father Kidevu

Ninasaidia sana Watanganyika Wanaozuru Nje;; Lakini sasa naanza kupata Uwalakini sababu sijawahi kuchat na MTU mwenye roho ya KUTU kama WEWE

Inanifanya NIANZE kuogopa kutoa MKONO wangu wa heri na UPENDO kwa wanganyika wanaopata matatizo NJE... Inaonyesha hauna UTU hata kidogo

Tatizo umezoea ku copy na ku paste zilipendwa!
Mimi ni mtanzania mwenye utu, mwenye uchungu na nchi yake, tofauti na wewe unayeangalia kwanza kujua wenzio wanafanya nini!
Hujui hata harufu au ladha ya mabomu yaani upo upo tu ki umbea!
 
Ndiyo maana kazi ya kugawa riziki huifanya MUNGU pekee, unaonyesha una roho mbaya sana mkuu, kibaya ni kuwa umeshindwa kuificha hiyo roho mbaya, ukimsaidia mtu wewe huhesabu umemnunua, badilika.
 
Hapo ndipo utaona ufupi wa akili za jeshi la polisi Tanzania. Wanafanya mambo ambayo hata mtoto mdogo anajua hawatumii akili kufikiria.
Mwita Maranya
Unapaswa kufahamu nini maana ya serikali! Na uelewe Makalla hayupo kwenye movement amekwenda kukagua maendeleo jimboni mwake ni tofauti kabisa na hii kitu yenu M4C; unaona hata wanakijiji wapo na amani wakimsikiliza mbunge wao.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Hapo ndipo utaona ufupi wa akili za jeshi la polisi Tanzania. Wanafanya mambo ambayo hata mtoto mdogo anajua hawatumii akili kufikiria.
walionyesha ITV jana jinsi walivyokuwa wamejipanga mjini Iringa kuwazuia cdm lakini cha ajabu pamoja na nguvu yote waliyotumia kwenye 'maandalizi' hawakujua walipaswa kufanya nini!!!
Kwa muonekano walionekana wakubwa lakini baada ya kugundua upuuzi wao uliwafanya waone hata aibu na kuanza eti kuuliza ngazi za juu!
Tangia hapo nikahitimisha kuwa inabidi either tuombe Mungu au basi kwa wale wengine wawasiliane na mrithi wa Sheikh Yahya ili watoe ulinzi maana kiukweli hatuna jeshi la polisi hapa!

1+%281%29.JPG

Hivi ndivyo Makalla anavyowajali watu wake.Kamvalisha mtoto wa watu sare ya CCM na kamwacha na ndala na akawa anamkimbiza kwa kasi yakeya kutembea.Mtoto mwingine hata hiyo sare kanyimwa na yuko na yebo zake huku muheshimiwa waziri na mpambe wake wakiwa wameulamba.Kumbe kweli CCM ni
chama cha mabwenyenye.Huu ni unyanya saji mkubwa wa watoto na naomba kila mpenda watoto alaani tabia hii ya kuwatumia watoto kwa maslahi binafsi kama alivyofanya mheshimiwa huyu.
Very shame watoto hawana hata kandambili unavaa suti ya ma-million? vishati vyenyewe kha! nchi yetu Tanzania.
 
Ndo alikuwa anajaribu kuzima motto wa M4C?Kwa kugawa rim za karatasi?
 
1+%281%29.JPG

Hivi ndivyo Makalla anavyowajali watu wake.Kamvalisha mtoto wa watu sare ya CCM na kamwacha na ndala na akawa anamkimbiza kwa kasi yakeya kutembea.Mtoto mwingine hata hiyo sare kanyimwa na yuko na yebo zake huku muheshimiwa waziri na mpambe wake wakiwa wameulamba.Kumbe kweli CCM ni
chama cha mabwenyenye.Huu ni unyanya saji mkubwa wa watoto na naomba kila mpenda watoto alaani tabia hii ya kuwatumia watoto kwa maslahi binafsi kama alivyofanya mheshimiwa huyu.
Sensa?
 
Tatizo umezoea ku copy na ku paste zilipendwa!
Mimi ni mtanzania mwenye utu, mwenye uchungu na nchi yake, tofauti na wewe unayeangalia kwanza kujua wenzio wanafanya nini!
Hujui hata harufu au ladha ya mabomu yaani upo upo tu ki umbea!

Ulipigwa Wapi Mabomu? Tanganyika? Au Nchi Nyingine... Unaweza ku-define Umbea? Saa nyingine sielewi mantiki zako; Ukiongea

ondoa chuki Moyoni; Hii ni dunia there is always silver lining in the SKY...
 
Ndiyo maana kazi ya kugawa riziki huifanya MUNGU pekee, unaonyesha una roho mbaya sana mkuu, kibaya ni kuwa umeshindwa kuificha hiyo roho mbaya, ukimsaidia mtu wewe huhesabu umemnunua, badilika.

Umekuta kwenye Maongezi na Mwananchi; yeye anasema kuwa ana hasira sababu amepatwa na mengi hadi amekoswakoswa na

RISASI he's very bitter Najaribu kutafuta sababu ya yeye kuwa na Hasira hanijui ananiita Majina kama nimekalia something... sasa

yeye na Mimi kwanini tuwe na Uhasama Sasa wewe Unaona hii TOPIC moja... Umeisha ni-judge... I believe Judging a human being is

a sin - haujui maongezi yetu...
 
Ulipigwa Wapi Mabomu? Tanganyika? Au Nchi Nyingine... Unaweza ku-define Umbea? Saa nyingine sielewi mantiki zako; Ukiongea

ondoa chuki Moyoni; Hii ni dunia there is always silver lining in the SKY...

Well, there is silver lining in the sky, but this does not apply to you, since your understanding capacity reads below average!
 
Father kidevu acha umbea hiyo picha yenye pikipiki wala sio kisala,ni kijiji cha kidudwe. Mnafiki mtupu hata huyajui maeneo,ulitumiwa picha upost nini?
 
Well, there is silver lining in the sky, but this does not apply to you, since your understanding capacity reads below average!

Ni labda wewe imani yako ni ndogo... my understanding capacity kama ingekuwa below average... wazungu wasinge nipa kazi kuwa Director au Elimu ya Juu

Naona wakenya ni wengi Tanzania? Mmeanza kuwa Umimi kama wakenya, labda ndio maana Mabundiki kila Maana, wengi Mna chuki... Namshukuru Mungu

Nimekimbia Zamaniii
 
Ni labda wewe imani yako ni ndogo... my understanding capacity kama ingekuwa below average...
wazungu wasinge nipa kazi kuwa Director au Elimu ya Juu

Naona wakenya ni wengi Tanzania? Mmeanza kuwa Umimi kama wakenya, labda ndio maana Mabundiki kila Maana, wengi Mna chuki... Namshukuru Mungu

Nimekimbia Zamaniii

Hivi unajua wazungu huwa wanawaajiri watu wenye upeo gani kwenye taasisi zao?
Nashukuru kwa kuji identify!
Hahaaaaaaaaa!!! wazungu wanajulikana kwa kuajiri watu wenye upeo mdogo, taahira siyo taahira, ndumila kuwili kwa sana!
Sikuhizi kuna ma directors wa aina nyingi, unaweza kuwa director wa kufua nguo za watoto, director wa kuzoa mavi, director wa ...............nk.
Thanks Kamanda!
 
Taarifa za Jeshi la Polisi zinaonyesha Mvomelo zoezi la sensa limemalizika toka juzi
 
Hivi unajua wazungu huwa wanawaajiri watu wenye upeo gani kwenye taasisi zao?
Nashukuru kwa kuji identify!
Hahaaaaaaaaa!!! wazungu wanajulikana kwa kuajiri watu wenye upeo mdogo, taahira siyo taahira, ndumila kuwili kwa sana!
Sikuhizi kuna ma directors wa aina nyingi, unaweza kuwa director wa kufua nguo za watoto, director wa kuzoa mavi, director wa ...............nk.
Thanks Kamanda!

Acha Wivu Mimi siangalii ajira Nimefuata GREEN's Sidhani BONGO wangenipa hizo GREEN's CHUNGA jua KAKA sio libaya...

Sasa Wewe na MAFISADI na PRINCE HONGERENI...
 
Back
Top Bottom