Picha zangu mpya mpya hizo angalia

MziziMkavu asante sana kwa hizi picha
ila nachukua baadhi naweka kwenye albam yangu.
 
Last edited by a moderator:
Rais wangu Mtarajiwa cc Mkereketwa_Huyu kunywa maziwa ya moto tia sukari kidogo utalala mimi ninalala kisungura sungura si unamjuwa sungura jinsi anavyolala?


Nilichelewa kupata huu ujumbe, ila kama kulala tu....nililala kwa taabu kidogo kwani mawazo ya kukabwa usiku yalikuwa mengi.
 
A 4month baby girl found buried alive
So surprisingly she's still alive
But is a very critical condition
May the Lord Jesus christ heal this Child
Type "Amen"
Pls don't ignore, don't scroll without writing "Amen"

Mwacheni Mungu aitwe Mungu!
 


Hii makaku ni ya kwetu ku-Congo, unafanya mimi mate kudondoka kwa mudomo.
 
Kwa nini tena Dada yangu?

Najiuliza hao watoto wamekumbatiana hapo Ni njaa

Ukiwaangalia wamechafuka hawana mashati ,Miguuni hawana viatu
na huyo mkubwa alivyomkumbatia mwenzie kwa upendo
Sijui ni njaa ? sijui uchovu
na kopo lao pembeni kweli duniani kuna mitihani ya maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…