Si lakuishi tu ukatapo kuwa hai duniani!sasa jengo kubwa hivyp la nini?
Timu ya uokoaji mbali na kuchelewa kufika kwenye tukio,zana za uokoaji zilikuwa duni,hiyo machela ya miti aibu kwa taifa
Kwa picha hizo na msemaji wa kampeni alisema amezungumza nao na wako salama!
Poleni wafiwa.