Picha za toka nyumbani kwa mbunge Deo Filikunjombe, mjengo aliouacha, na ajali

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797




Mke wa marehemu Deogratias Filikunjombe, Sarah Filikunjombe (kushoto) akilia kwa uchungu baada ya kupata tarifa za kifo cha mumewe.
Ndugu, jamaa na marafiki wakionekana wenye huzuni nyumbani kwa Deogratias Filikunjombe.

Nyumbani kwa Deogratias Filikunjombe Mbagala Kijichi, Dar es Salaam.
Capt. William Silaa enzi za uhai wake.

Filikunjombe akiwaaga wananchi wake.

Mbunge wa Ludewa Mhe. Deogratias Haule Filikunjombe amefariki dunia katia ajali ya Chopa katika hifadhi ya wanyama ya Selous, pamoja na rubani Kepteni William Silaa mfanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa.

Wengine waliofariki kwenye ajali hiyo ni Vitalis Blanka haule na Ofisa Tawala wa Wilaya ya Tarime, Bw. Egdi Mkwera ambaye alikuwa mtaalam wa mifugo.

Picha hapo chini ni Chopa iliyosababsha kifo cha Filikunjombe, Capt. William Silaa na watu wengine wawili.



Capt. Slaa... Baba Mzazi wa Diwani Slaa Mgombea Ubunge Gongolamboto




Haya ndio mabaki ya ndege iliyotoa uhai wa wapendwa wetu.. (taswira kutoka kwa F. Godwin, Iringa)
So painful! Inaumiza moyo mno.. Kwanini vizuri havidumu!?
Kiukweli hawakustahili kutangulia kwa namna hii..!! Will always miss you comrades.
May their souls rest in eternal peace..Amen!!


12109253_10208293573683295_5212613755865516551_n.jpg




12106795_10208293574923326_5216496471226165818_n.jpg



12074493_10208293575363337_7701466593647491119_n.jpg
 
Jamani hizi chopa mkweche jamani jamani? Hivi vyama vya siasa havifuati ile sheria ya manunuzi (ppra)?
 
Nilisikia wanasema alikuwa anaishi kwenye nyumba ya kupanga mtoni kijichi, ina maana ndo hiyo? Mmh.
 
Ccm ilikuwa na vijana wawili tu ambao walikuwa wanatetea watz filikunjombe na bulaya. Watu wa maana wanatangulia mbele ya haki wkt majitu ambayo hayana faida yoyote kwa taifa yapo hai.
Jina la bwana libarikiwe.
 
Kwa picha hizo na msemaji wa kampeni alisema amezungumza nao na wako salama!
Poleni wafiwa.
 
Kwa picha hizo na msemaji wa kampeni alisema amezungumza nao na wako salama!
Poleni wafiwa.

Msemaji wa kampeni yeye ni kukanusha tu. Mambo mengine hayataki siasa.
R.I.P Filikunjombe na wengine pia kwenye ajali hiyo. So sad
 
Back
Top Bottom