Picha za Simba aliyekula mbuzi 47 naye auawa Morogoro

Picha za Simba aliyekula mbuzi 47 naye auawa Morogoro

Spanishboy

Senior Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
118
Reaction score
65
Kwa kimombo tunaiita 'life and death', Simba aliyetumia fursa vizuri kwa kujilia mbuzi 47 ameyaonja mauti baada ya kupigwa hadi kufa na Askari wanyamapri. Picha zaidi Picha: Simba aliyekula mbuzi 47 auawa Morogoro - Tabianchi

simba+moro1.jpg

walishindwa kumdaka kwa mtego wakamrudisha Mikumi?
kama hajaua mtu huyo sio mbaya
 
Asingekula mbuzi angekula mtu hivyo kuuwawa ni sawa kabisa. Sio kama ile zoo ambayo walithamini uhai wa simba badala ya binadamu. Wailona bora mtu afe kuliko kuua simba anayewaingizia kipato. Fedha bora kuliko uhai wa mtu.
walishindwa kumdaka kwa mtego wakamrudisha Mikumi?
kama hajaua mtu huyo sio mbaya
 
naona hujanielewa
muda waliokuwa wanamsaka wangemwekea mtego na mbuzi angenasika
na nijuavo askari wanayama pori huwa wana sindano za kulewesha
wangemdunga sindano hiyo kwa kutumia silaha ya kudungia wangemdaka, technique ziko nyingi za kumdaka
simba anauawa endapo ameshambulia mtu au kuuwa mtu.

Lokissa.....huyo ni full grown simba dume na ukimwangalia kwa makini huyo simba utaona manyoya yake ya kichani na shingoni hayako vizuri.....ni machache sana........hivyo basi huyu samba hakubliki kwenye jamii ya simba wenzake........pia atakua ana mpungufu mengi tu. Simba kama huyo ni dhaifu na ni vigumu kuwinda wanyama wa porini....... case kama hiyo ilishatokeaga miaka ya nyuma kwenye vijiji vya rufiji kati ya mloka na ngorongo, kuna simba alikula zaidi ya watu 45 alikua kama huyo. Hivyo basi ni vigumu sana kumrudisha porini simba wa hivyo ni hatari sana maana huwa lazima atarudi kwenye makazi ya watu na akikosa mbuzi atakula mtu.
 
Mkuu simba wafe tu!! Leo atakula mbuzi kesho atakula watu!! Nimekuelewa ila mimi sina deal na hao simba. Wauawe tu mkuu. Wanyama hatari sana hao. Wakitaka wasife wabaki mbugani!!! Wakija kwenye makazi manaake ni hatari hivyo ni kuwaua tu. Hujasoma hiyo habari niliyoiquote kidogo nini? Kuna zoo moja simba kamshambulia mfanyakazi aliyesahau kufunga mlango wafanyakazi wenzie wlijaribu kumfukuza huyo simba lakini hakumwachia huyo mfanyakazi. Mimi nilishangaa kwanini hawakumuua wakaacha mwenzao auwawe na huyo simba. Huyo kafugwa lakini kaua!! Wanyama hatari hao mkuu!!!
naona hujanielewa
muda waliokuwa wanamsaka wangemwekea mtego na mbuzi angenasika
na nijuavo askari wanayama pori huwa wana sindano za kulewesha
wangemdunga sindano hiyo kwa kutumia silaha ya kudungia wangemdaka, technique ziko nyingi za kumdaka
simba anauawa endapo ameshambulia mtu au kuuwa mtu.
 
nyie mnaosema asingeuawa mlikuwa mnataka msubiri adi aue mtu hivi mbuzi 47 mnaona kidogo? naunga mkono walivyomuua
 
Sasa kwanini wamemuua?wakati amekula mbuzi na ni kitoweo? walitaka ale nyama ya watu?Wangemkamata tu (aidha kwa mtego au sindano ya ganzi) wakamuhamisha wampeleke maporini karibu na jamii nyingine ya simba!!
Tunaharibu nature huo ni mzunguko wa ecology!!
 
huyo jamaa mwenye kitambi anaonekana anashauku yakula nyama
 
Back
Top Bottom