Picha za siku ya pili ya ziara Rais Kikwete nchini Canada asaini FIPA kulinda Canadians in TZ

Nashukuru, nilliona lakini nilimaanisha 'fine print' zinasemaje? Naamini siko peke yangu kuona kama Tanzania inageuka battle ground kati ya West na China! Tumejiandaaje?


It's something to sell to a private company but Cnnooc is own by the China Republic......This deal is like Canada buying Exxon Mobil....Wonder how American will like that???

So, all jobs lost... the world Market power... that's how will know kama tuna Uongozi Mzuri; tutakuwa Mbali kimaendeleo
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Nashukuru, nilliona lakini nilimaanisha 'fine print' zinasemaje? Naamini siko peke yangu kuona kama Tanzania inageuka battle ground kati ya West na China! Tumejiandaaje?

Tunamtegemea Waziri wetu wa MADINI tu; SIdhani kama Rais na Wengine wana Mpango wowote wa kujiandaa...
That's our only expectation no one else...
 
MP queries Tanzania-Canada talks on investor 'protection'

7/25/2008 8:41:44 AM | | 308 reads | Post #23596855

PM says he is not aware of such a thing

THISDAY REPORTER
Dodoma

A MEMBER of Parliament yesterday questioned ongoing negotiationsbetween the government and Canada for an agreement aimed at protectingthe interests of Canadian investor companies in the country, includingthe mining giant Barrick Gold Corporation.

Speaking during the Prime Minister's Questions (PMQs) weeklysession in the National Assembly, Zitto Kabwe (Kigoma North-CHADEMA),asked premier Mizengo Pinda to explain the motives behind therecently-initiated official talks geared towards finalizing alegally-binding Foreign Investment Promotion and Protection Agreement(FIPA) between the two countries.

He expressed concern that the proposed agreement could effectivelycancel out the work of the presidential mining sector review committeechaired by retired judge Mark Bomani, of which he (Zitto) was also amember.

''Tanzania is currently in negotiations with the Canadiangovernment to enter into this agreement. In fact, Tanzania has alreadyagreed to speed up these negotiations, even before the recommendationsof the Bomani committee report have been enforced by law,'' said theMP, following this up with a direct question to the prime minister:

''Why has the government agreed to undermine the sovereignty of ournation and undercut the authority of Parliament, by engaging innegotiations aimed at protecting dubious contracts with foreigncompanies, even as the Bomani committee report is still being handledby Parliament right now?'' he continued.

Responding, premier Pinda said he was not aware about the ongoing negotiations between Tanzania and Canada cited by the MP.

He asked Zitto to give him time to look into the matter, in order to come up with an informed response to his questions.

The MP, who is also chairman of the Parliamentary PublicCorporation Accounts Committee, told THISDAY in an interview lateryesterday that he was ''deeply suspicious'' about the real motives ofthe talks, which he said actually began while the Bomani committee wasstill doing its work.

According to THISDAY's own findings, while the Bomani committee wasformed on November 12 last year and presented its report findings toPresident Jakaya Kikwete on May 24, this year, the negotiations betweenTanzania and Canada for the FIPA began in March this year.

''This timing is very suspicious,'' stated Zitto, adding that hehad personally seen a 'model' of the proposed agreement and concludedthat ''it is purely an instrument aimed at protecting the interests ofCanadian companies in Tanzania.''

He advised the government to halt the negotiations with Canadauntil Parliament has properly debated the report findings of the Bomanicommittee, along with its recommendations for key reforms to thenational mining sector policy and tax regime.

According to Zitto, proceeding with the negotiations at this stagewould only pre-empt the recommendations of the Bomani committee report.

He further noted that although prime minister Pinda was ?gentlemanenough? to admit that he was not informed about the ongoing talks, suchan admission did not reflect well on the workings of the government.

Said Zitto: ''If the prime minister has not been briefed about suchimportant negotiations with a foreign government, it means there mustbe a serious lack of coordination within the government.''

He faulted the Ministry of Foreign Affairs and InternationalCo-operation, Tanzania Investment Centre (TIC), Tanzania Intelligenceand Security Service (TISS), and other relevant government departmentsfor apparently failing to properly brief the premier on such importantissues.

According to information posted on the website of Canada's owndepartment of foreign affairs and international trade, Dar es Salaamand Ottawa have ''pledged to work together to conclude an agreement ina timely manner.''

''A bilateral FIPA will provide greater predictability andcertainty for Canadian investors considering investment opportunitiesin Tanzania, and will underscore Tanzania's reliability as aninvestment destination,'' says a report on the website

It continues: ''Canada's objective in entering these negotiationsis to secure a comprehensive, high-quality agreement which will protectinvestors through the establishment of a framework of legally bindingrights and obligations.''

THISDAY recently reported that the Canadian High Commissioner toTanzania, Janet Siddall, and other officials from the embassy in Dar esSalaam were in Dodoma on an intense mission to lobby MPs about theirpositions on the Bomani committee report findings.

Parliamentary sources confirmed that the Canadian delegation hadbeen in private talks with influential legislators from both the rulingChama Cha Mapinduzi (CCM) and the Opposition camp.

''They were keen to ensure that Parliament does not endorse theBomani committee report for immediate implementation, because thatwould have quite negative consequences for that country's business andinvestment interests in Tanzania,'' one source told THISDAY.

The report is in line to be debated in the National Assembly during the ongoing budget sessio


Read more at MP queries Tanzania-Canada talks on investor `prot - Tanzanian Royalty Exploration Corporation - TNX
 

It's something to sell to a private company but Cnnooc is own by the China Republic......This deal is like Canada buying Exxon Mobil....Wonder how American will like that???

So, all jobs lost... the world Market power... that's how will know kama tuna Uongozi Mzuri; tutakuwa Mbali kimaendeleo

Makampuni mengi makubwa ya kichina yana mkono wa serikali na wakitaka kazi/mkataba nje serikali yao inawapa push sana. Angalia miradi mingi toka huko inakuja na mkopo moja kwa moja, sisi tunakuwa hatuna 'option'!

Hapa tulipofikia, nadhani ni mzigo mzito kufanywa na mtu mmoja kwa maana ya ofisi ya rais. Hizi pande mbili za dunia (china & west) zinawindana, na nadhani tungekuwa na 'Team maalum' ya kuchora ramani ya mchezo wetu ili kupata what is best for us. Sijui kama tuna kitu kinachoitwa 'economic intelligence team? Kama hakuna ni lazima kiianzishwe haraka.
 
Sasa wananchi huko nyamongo wajiandae na vifo watapigwa mabunduki na hakuna atakaye situka maskini nchi yetu mikononi mwa huyu mumiani wa rasilimali za nchi imekwisha kabisa
 
Mi nashindwa kuelewa kabisa hii nchi,inamana ata washauliwa wa dhaifu wanashindwa kumpa somo dhaifu kuhusu misafara yake isiyo kuwa na tija kwa taifa letu jamani.
 
nyie si mlichagua sura so anaiuza kimataifa

Lakini hapo kwenye kuanza hiyo MIKATABA sio yeye Ni MZEE WA KIINGEREZA B.MKAPA ndie aliyeweka hiyo Mikataba MIBOVU 2% kwa serikali no taxes for the government; hakuna local mwenye Mineral knowhow kufanya kazi kwenye Machimbo nchini; wanawapekeka kwenye machimbo yao nje ili wasijue life long span ya machimbo; quality ya madini... MKAPA ndie aliyetuweka hapa sio KIKWETE hata kama ndio KIKWETE ana UDHAIFU hatari...
 
Kuwepo kwa Sospter Muhongo kwenye hiyo ziara hapo ni pigo kubwa sana
 
Kaambiwa kwa mdomo kiichoandikwa. Then akaombwa asaini,akaanguka wino !!!

Inaelekea wewe ni kihiyo wa mambo ya protokali, mkataba hasaini mpaka umepitia mchakato mrefu wa wataalam mbalimbali wakiwemo wa sheria, siyo kukurupuka kama unavyodhani. kwani uko form gani? three?
 
Mhongo kama jina lake lilivyo, si mkweli. Kauli za kurudia mikataba ni kwa matumizi ya ndani, yaaani kukulaza wewe na mimi madongo kuporomoka. Wote hawa wanapofika kwa waume huko hawawezi hata kufungua kinywa. Huo Uprofesa ni wa DSM tu. Nawajua sana hawa nimewaona sana hawa huku majuu. Yaelekea wazi mkulu na Mawaziri wake wamekuwa 'summoned' kwenda kutilishwa saini kutokana na 'kupayuka' kwa muhongo. Sahau kurejea mikataba!
du masikini muhongo kwisha kazi speed yake ndio imeishia hapo njia panda sasa anaelekea kwenye ubepari sito shanga ataanza kuukana ukweli na kuja na story nyingine za ki ccm

 

A MEMBER of Parliament yesterday questioned ongoing negotiationsbetween the government and Canada for an agreement aimed at protectingthe interests of Canadian investor companies in the country, includingthe mining giant Barrick Gold Corporation.

Speaking during the Prime Minister's Questions (PMQs) weeklysession in the National Assembly, Zitto Kabwe (Kigoma North-CHADEMA),asked premier Mizengo Pinda to explain the motives behind therecently-initiated official talks geared towards finalizing
alegally-binding Foreign Investment Promotion and Protection Agreement(FIPA) between the two countries.

He expressed concern that the proposed
agreement could effectivelycancel out the work of the presidential mining sector review committeechaired by retired judge Mark Bomani, of which he (Zitto) was also amember.

''Tanzania is currently in negotiations with the Canadiangovernment to enter into this agreement.
In fact, Tanzania has alreadyagreed to speed up these negotiations, even before the recommendationsof the Bomani committee report have been enforced by law,'' said theMP, following this up with a direct question to the prime minister:


Responding,
premier Pinda said he was not aware about the ongoing negotiations between Tanzania and Canada cited by the MP.

TNX

Very disturbing!

Hivi tunweza kusema we are a sovereign nation?
 
Kwa hiyo madhumuni ya safari au makaribisho ilikuwa ni kusaini mkataba wa kulinda makampuni yanayotunyonya ya Canada?

Mkuu jasusi huu ni mwaliko alialikwa siku nyingi; bahati mbaya ajali ya meli ilimzuia; hivi mnataka kusema siku Chadema ikiwa madarakani raisi hatasafiri? hizi safari si kweli kama hazina maana kwa watanzania kama wengi mnavyodai; sina manufaa kwasababu hakwenda kuiwakilisha CCM au kutafuta maendeleo kwa CCM; yapo mengi ambayo tunajifunza ukizingatia Canada ni nchi ilioyoendelea na inapiga hatua kwenye sekta ya nishati.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Nashukuru, nilliona lakini nilimaanisha 'fine print' zinasemaje? Naamini siko peke yangu kuona kama Tanzania inageuka battle ground kati ya West na China! Tumejiandaaje?

Ni afadhali mikataba na west China ya leo sio ya jana; kama kweli tunataka maendeleo ni ku review hii mikataba iliyowekwa kwa misingi ya rushwa ili iboreshwe kwa manufaa ya watanzania wa kawaida; sikubalini na hawa investor wa kichina.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu jasusi huu ni mwaliko alialikwa siku nyingi; bahati mbaya ajali ya meli ilimzuia; hivi mnataka kusema siku Chadema ikiwa madarakani raisi hatasafiri? hizi safari si kweli kama hazina maana kwa watanzania kama wengi mnavyodai; sina manufaa kwasababu hakwenda kuiwakilisha CCM au kutafuta maendeleo kwa CCM; yapo mengi ambayo tunajifunza ukizingatia Canada ni nchi ilioyoendelea na inapiga hatua kwenye sekta ya nishati.

Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu wangu Chama,
Sina beef na ziara yenyewe. Swali langu limejikita katika kusainiwa mikataba ya kulinda maslahi ya Wacanada nchini Tanzania ambayo tunajua ni pamoja na madini yetu. Huo ndio wasiwasi wangu. Kwa muda mrefu wazungu wametuzidi akili kwa kutualika na kutusainisha vitu vya ajabuajabu. P.S. Umeliona bandiko la Zitto? Nipo kwenye wavelength hiyo hiyo. Sina imani na Kikwete kulinda maslahi yetu katika madini hata siku moja.
 
Lakini hapo kwenye kuanza hiyo MIKATABA sio yeye Ni MZEE WA KIINGEREZA B.MKAPA ndie aliyeweka hiyo Mikataba MIBOVU 2% kwa serikali no taxes for the government; hakuna local mwenye Mineral knowhow kufanya kazi kwenye Machimbo nchini; wanawapekeka kwenye machimbo yao nje ili wasijue life long span ya machimbo; quality ya madini... MKAPA ndie aliyetuweka hapa sio KIKWETE hata kama ndio KIKWETE ana UDHAIFU hatari...
Usimtetee Kikwete. Ndiye aliyeanza kusaini mikataba akiwa waziri wa nishati na madini. He is just as guilty as Mkapa.
 
Hivyo vitabu au makabrasha anayosaini ameyasoma mpaka mwisho na kuyaelewa au anajimwagilila tu?Isije ikawa Mambo ya Chief gani yule..................................:A S embarassed:

Ha ha haaaaaaaa! KOMBAJR bana ni Chief Mangungo wa Msovero!
 
Last edited by a moderator:
Hivyo vitabu au makabrasha anayosaini ameyasoma mpaka mwisho na kuyaelewa au anajimwagilila tu?Isije ikawa Mambo ya Chief gani yule..................................:A S embarassed:

SIdhani kweli....halafu mikataba ya kulinda makampuni ya Canada?Alikumbuka wauliza na wao wawalinde raia wetu wasidhurike na sumu na kuwajibika kwa kodi?
 
Back
Top Bottom