Picha za Rais Samia zimejaa njia nzima KIA badala kutangaza vivutio vya utalii!

😂😂😂😂😂nimecheka Sana

Umeandika point kubwa sana binafsi pia huwa sioni sababu ya mabango yale sasa kama yamewekwa na sehemu potential za kutangazia utalii wetu ni hatari mamlaka husika wajitahidi kuangalia hilo na kurekebisha
 
Sehemu kama Arusha kuanzia hapo KIA yangetakiwa yawepo Mapango yanayo tangaza vivutio vyetu mbalimbali tulivyo navyo nchini hii ni kwaajili wageni na kwaajili wananchi pia naamini hata wageni wakiona picha za rais kila mahali uwa wanashangaa.

Tunahitaji viongozi wenye IQ kubwa na hayo mabango yanaonyesha wazi tuna viongozi wenye uwezo mdogo wa AKILI na huko shuleni walienda kusomea ujinga.

Yale Mapango yanatakiwa yawe na picha za mlima Kilimanjaro, mlima meru, mlima oldonyo lengai, Serengeti, ngorongoro, mikumi, saadani, fukwe za Zanzibar, gombe, Nk.

Nimalizie kwa kusema vitu tunavyoviwekea mabango ni bidhaa na huduma mana biashara ni matangazo.
Kivutio kikuu ni huyo mwali, miss Tanzania Sa100.
 
Kila mara jambo jipya huanza Afrika hasa Tanzania.

Leo CPA Dr. Ngongo naelekea Uturuki kupitia Addis Ababa Ethiopia. Njia nzima (yote) zimejazwa picha za Rais Dr. Samia.

Mabango yametanda yamejaa sifa kemukemu, anapenda watoto, elimu kidato cha tano na sita bure, ameifungua nchi, anatunza mazingira, nk.

Nilitarajia njia ya kuingia Kilimanjaro International Airport yangekuwepo mabango ya hifadhi za Taifa kama Tarangire, Manyara, Mlima Kilimanjaro, Serengeti, Ruaha na fukwe za nchi ya Zanzibar.

Nawasilisha roho yangu ikiwa imejikunja.
Ndiyo naye ni kivutio cha utalii kuwa na rais kilaza na dalali wa raslimali za nchi wake.
 
Back
Top Bottom