britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Siyo kwamba hawakufanya, walifanya ila kimya kimya
Angalia midude
Kikwete Anaeleza kwamba tuliachiwa ndege 14 na Nyerere
Kuna Upotoshaji wa Hali ya Juu hasa Kutoka Kwa CCM
Wakisema kuwa ndege zilikuwa za Kukodi
Wengine eti ni za Former EAC
Tuweke kumbu kumbu sawa
Baada ya EAC kuvunjika mwaka 1977 Ndege zote zilichukuliwa na Kenya kwakuwa operation na makao makuu ilikuwa kule,
Ndege za Kukodi ni Kipindi cha Mwinyi mwaka 1991 walikodi Boeing kutoka Ethiopia,
Mzee Nyerere was far different from that one whom you praise
Angalia midude
Kikwete Anaeleza kwamba tuliachiwa ndege 14 na Nyerere
Jakaya Kikwete: Mzee Nyerere alituachia ndege za Taifa 14, kuna kipindi zimeisha hapa kati
Rais wa awamu ya Nne Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika kutathmini miaka mitatu ya Rais Magufuli ikulu amesifu juhudi zake za kuwa jasiri kurejesha heshima ya Taifa kwa kununua ndege mpya 4, ambazo zote zinafanya kazi za usafirshaji, Kasema yeye kipindi chake alishindwa sababu usimamizi wa...
www.jamiiforums.com