TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 5,723
- 10,231
Nzuri. Inapendeza sana kutazama jua likizama!View attachment 2840012
Picha imepigwa kutoka upande wa Lake Tanganyika Hotel nyakati za jioni kabisa jua likielekea kuzama, mandhari nzuri kabisa ya muonekano wa ziwa Tanganyika hakika Kigoma kunapendeza sana by Kigoma Region Tanzania
Sunset 🌇 ni tibaNzuri. Inapendeza sana kutazama jua likizama!
CCM ndio chanzo cha matatizoZiwa lote hilo halafu tunasikia wakazi wanaolizunguka hawana maji ya kutosha na ni masikini.
Hakika umasikini wetu ni wa akili.
fungua PM we bibiZiwa lote hilo halafu tunasikia wakazi wanaolizunguka hawana maji ya kutosha na ni masikini.
Hakika umasikini wetu ni wa akili.