Picha za maziko ya Kiongozi wa Korea kaskazini

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,899
2011-12-28T064046Z_1_BTRE7BR0IK400_RTROPTP_2_KOREA-NORTH-FUNERAL.JPG
2011-12-28T064046Z_1_BTRE7BR0IK600_RTROPTP_2_KOREA-NORTH-FUNERAL.JPG
2011-12-28T060853Z_1_BTRE7BR0H3300_RTROPTP_2_KOREA-NORTH-FUNERAL.JPG
2011-12-28T064046Z_1_BTRE7BR0IK700_RTROPTP_2_KOREA-NORTH-FUNERAL.JPG
2011-12-28T060853Z_1_BTRE7BR0H3200_RTROPTP_2_CNEWS-US-KOREA-NORTH-FUNERAL.JPG
6d8099a02360931d020f6a706700d141.jpg
nkorea.jpg
f7768eb1235f931d020f6a70670030f6.jpg

Kwa habari zaidi bofya hapa: [h=3]Massive funeral for late N. Korean leader[/h]
 
Hawa jamaa sijui wamelishwa limbwata gani tu na hao kina Kim...

Kim Il Jong....Kim Il Sung....Kim Il Un lol
 
Hawa jamaa sijui wamelishwa limbwata gani tu na hao kina Kim...

Kim Il Jong....Kim Il Sung....Kim Il Un lol
Akina Kim Il wanapokeza kijiti huyu wa sasa hivi aliyerithi ndio kwanza ana miaka 20 wanavyomuheshimu unaweza kusema sijui nini wakorea wameaminishwa hakuna watawala wengine zaidi ya akina Kim Il
 
hahaaa limbwata la hawa kali sana ngoja nifanye mishemishe nipate limbwata hili
 
Akina Kim Il wanapokeza kijiti huyu wa sasa hivi aliyerithi ndio kwanza ana miaka 20 wanavyomuheshimu unaweza kusema sijui nini wakorea wameaminishwa hakuna watawala wengine zaidi ya akina Kim Il

Huyu mridhi wake bonge kweli duh!
 
Hawa jamaa sijui wamelishwa limbwata gani tu na hao kina Kim...

Kim Il Jong....Kim Il Sung....Kim Il Un lol
hao ndio viongozi wanaowapenda.....mtasha mmoja eti alipoona hayo maziko akaniambia....aah hawa jamaa watakuwa wameshurutishwa kulia...
 
Akina Kim Il wanapokeza kijiti huyu wa sasa hivi aliyerithi ndio kwanza ana miaka 20 wanavyomuheshimu unaweza kusema sijui nini wakorea wameaminishwa hakuna watawala wengine zaidi ya akina Kim Il

Wanakisia atakuwa na 27 mpaka 28...dogo sasa hivi naambiwa kawa maarufu kwa style yake ya kunyoa panki
2010-10-12-08-44-26-12-kim-jong-un-the-youngest-son-of-kim-jong-il-will1.jpeg
 
Tafuta jinsi ya kuishi maisha yenye uzima wa milele na kupokea msamaha toka kwa Mungu

<!-- google_ad_section_end -->
zhangwei3.jpg

zhangwei4.jpg

zhangwei5.jpg

zhangwei2.jpg
 
wanakisia atakuwa na 27 mpaka 28...dogo sasa hivi naambiwa kawa maarufu kwa style yake ya kunyoa panki
2010-10-12-08-44-26-12-kim-jong-un-the-youngest-son-of-kim-jong-il-will1.jpeg

yaani hata kubaleleeeeeeee ajabaleeeeeeeee jamani neema ikiamua kukwangukia loh
namie kim didy kuanzia leo
 
yaani hata kubaleleeeeeeee ajabaleeeeeeeee jamani neema ikiamua kukwangukia loh
namie kim didy kuanzia leo

Pdidy tangu niamke leo nilikuwa sijauchangamsha ubongo, ni wewe umeifanya siku hii nivunjie mbavu, comment nyingine bwana zinatuacha watu hoiiii!
 
Back
Top Bottom