Picha za magari - Official Thread.

Picha za magari - Official Thread.

8_6_2.jpg

nimeiona hii hapa bongo
 
Ngoja tujitahidi tumiliki..dreams comes true
 
Apa vipi
 

Attachments

  • 1384630635820.jpg
    1384630635820.jpg
    24.6 KB · Views: 166
  • 1384630649114.jpg
    1384630649114.jpg
    37.9 KB · Views: 168
  • 1384630739923.jpg
    1384630739923.jpg
    40.5 KB · Views: 164
  • 1384630823071.jpg
    1384630823071.jpg
    56.3 KB · Views: 147
  • 1384630841946.jpg
    1384630841946.jpg
    68.4 KB · Views: 153
Weka yaliyopo bongo ambayo tunaweza afford kununua!!! Ziwe na Namba za Tanzania!!
 
ungetuwekea na bei zake tujiridhishe kidogo.!
 
...i prefer vx land cruiser. Sikumoja miaka hiyo nilikuwa hotel moja,nilikuwa mshamba, jamaa kapaki hakuzima taa wala engine,huyooo kaondoka,nikamfuata umesahau kuzima taa kumbe kitu ilikuwa full auto kabla sijamaliza kitu ikazima taa na injini,aseee nilikuwa mwembamba...

Hhaaaaa!!! wewe nakuombea ndoto yako itimie.
 
unamaanisha nini mkuu? unataka picha ya gari gani?

Mkuu Bulldog, picha nitake ya nini wakati uwezo hata wa kununua Landrover 109 au Peougeot 504 ya enzi zile sina? Yanini kujiumiza roho!!!!.

Tiba
 
Back
Top Bottom