Si umesema weka maneno au???Kama hujui utajua mbeleni kaa kwa kutulia
Huyo Demu ndiye alikuwa demu wa Mdude, alitumiwa kama honeypot. Inasekana lakini[emoji3][emoji3] na alimpata kama hv kijamii forum hapa unitege tege mara paap ninase. Jamaa alitegwa FBNdio nini hiki? jf expert member since 2015...[emoji849]
Ahsante sana, sikua hata namjua....Huyo Demu ndiye alikuwa demu wa Mdude, alitumiwa kama honeypot. Inasekana lakini[emoji3][emoji3] na alimpata kama hv kijamii forum hapa unitege tege mara paap ninase. Jamaa alitegwa FB
Tusubiri, tusiwe na harakaConnection
Sawa jiraniTusubiri, tusiwe na haraka