ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,013
Hahaaaaa mkuu nisikuaharibie mada yako ngoja wajuvi wajenyie ndo wale mnatumia mkono wa kulia halafu bastola ipo kiunoni upande wa kushoto wakati wa kumtishia nape unahangaika kuji adjust?
Movie ipi, triple x xander cage au?Ukiwa kwenye kile chama ndio mambo yao ya kufake kifo cha mtu wao hasa wakikuona kama unakwenda kinyume chao.
Kuna move moja samweli Jackson ameact mule ndani wame disclose mambo yao kidogo hao ya kufake vifo.
Sikumbuki jina ila ni move nzuri sana.Movie ipi, triple x xander cage au?
ok namkubali sana mr Jackson,kam siyo xander ukikumbuka naomba unitajie ila xander cage yupo vin diesel,ice cube,neymar jr wa barcelona ali feki kafa akaibuka mwishoni...nchi za wenzetu hizi case za ku fake deaths ni nyingi sana,jana tu Uk kuna conman mmoja alipigaga kama dolar milioni 53 akafeki death kafa huko kwenye milimani sijui nchi gani kwenye michezo yao ya kuteleza ile kwenye ice,11 years walijua kafa kumbe anakula maisha an hela za utapeli.Sikumbuki jina ila ni move nzuri sana.
Inaitwaje hiyo muvi mkuu,??Ukiwa kwenye kile chama ndio mambo yao ya kufake kifo cha mtu wao hasa wakikuona kama unakwenda kinyume chao.
Kuna move moja samweli Jackson ameact mule ndani wame disclose mambo yao kidogo hao ya kufake vifo.
We jamaa japo "nadhani nadhani" mingi ila una upeo mkubwa sana..Kwa utajiri wa Ivan dollar mill 150 alikuwa na uwezo wa kuzilipa hata kwa mchango wa rafiki zake..ana mali nyingi sana ambazo alikuwa na uwezo wa kuziuza na akalipa hilo deni hata kwa msaada wa Mikopo bank na mchango wa richgang wenzie
Halafu Ivan alikuwa mwaminifu sana kuhusu kutapeli na ndio maana hata serikali ya South na Uganda zilimwamini na kumpa Tender na kuingia nae ubiya kwenye biashara kadhaa!!
Gharama za kufake death halafu watoto wake wamsahau baba ni kubwa mno,aliwapenda watoto wake sana tu!
Alikuwa na mapungufu mengine tu ila sio utapeli...Kufa amekufa,hilo swala la kutoonyeshwa sura ni makubaliano ya familia na ndugu tu...na kwa jinsi alivyokuwa amebabuka mdomo na pua haikuwa njema kuonyeshwa hadharani!!halafu airport (hasa nchi zilizoendelea)ukisafirisha maiti kwenye ndege ni lazima waifungue kwanza kuikagua kama kweli ni maiti na kama haijawekwa vitu vingine vya haramu!baada ya hapo wanaifunga vizuri na manailoni yao!!kwa hiyo huenda wakati anafunuliwa airport ndipo watu wakaweza kumpiga hizo picha!(nadhani tu sina uhakika)
Sidhani kama kuna haja ya kuongezea mengine zaidi ya maelezo uliyoyatoa na wasioamini haya usemayo watakuwa na viburi tu vya kuzaliwa....Kwa utajiri wa Ivan dollar mill 150 alikuwa na uwezo wa kuzilipa hata kwa mchango wa rafiki zake..ana mali nyingi sana ambazo alikuwa na uwezo wa kuziuza na akalipa hilo deni hata kwa msaada wa Mikopo bank na mchango wa richgang wenzie
Halafu Ivan alikuwa mwaminifu sana kuhusu kutapeli na ndio maana hata serikali ya South na Uganda zilimwamini na kumpa Tender na kuingia nae ubiya kwenye biashara kadhaa!!
Gharama za kufake death halafu watoto wake wamsahau baba ni kubwa mno,aliwapenda watoto wake sana tu!
Alikuwa na mapungufu mengine tu ila sio utapeli...Kufa amekufa,hilo swala la kutoonyeshwa sura ni makubaliano ya familia na ndugu tu...na kwa jinsi alivyokuwa amebabuka mdomo na pua haikuwa njema kuonyeshwa hadharani!!halafu airport (hasa nchi zilizoendelea)ukisafirisha maiti kwenye ndege ni lazima waifungue kwanza kuikagua kama kweli ni maiti na kama haijawekwa vitu vingine vya haramu!baada ya hapo wanaifunga vizuri na manailoni yao!!kwa hiyo huenda wakati anafunuliwa airport ndipo watu wakaweza kumpiga hizo picha!(nadhani tu sina uhakika)
Kumbe mkuu chanzo cha haya yote ni "Mange kasema".....duhMange anawachanganya sana na yule zari alienda kumsalimia kule hospitali alikuwa fake au ivan amekufa mbona watanzania mnavipaji sana vya kutunga mambo huki muangalia ivan akiwa hospitali kama walimpasua kichwa itakuwa aliaribika kweli