Picha za Ayatollah wakishangilia ushindi dhidi ya Marekani zimeanza kutoka

Picha za Ayatollah wakishangilia ushindi dhidi ya Marekani zimeanza kutoka

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,310
Reaction score
4,206
Niliwaahidi mvute subira. Hatimae picha ya mwanzo ya Ayatollah Khamenei zikimuonesha akiwa na Ayatollah Khomeni na Major General Qasem Solemani huko Firdaus (Pepo ya Kobaz) wakishangilia ushindi wa Iran dhidi ya Israel na Marekani huku wakipeperusha bendera ya Iran.

Picha zingine nitawaletea jinsi zinavyozidi kuingia.

Screenshot_20260324_183019_Chrome.jpg


adriz de mbusii
 
Back
Top Bottom