Picha za avatar zetu kwa ukubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha za avatar zetu kwa ukubwa

Discussion in 'Jamii Photos' started by King Kong III, Jan 2, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Habari Wadau,

  Thread hii ni kwa ajili ya kuweka picha tulizoweka kwenye avatar katika hali ya ukubwa,kuna mtu anaweza akaipenda avatar yako lakini akashinda kipata kisa ni ndogo lakini ukiupload hapa itakuwa vizuri zaidi

  Avatar Yangu:
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaa yaani katika avatal nizipendazo ni hii mkuu
   
 3. G

  Geka Senior Member

  #3
  Jan 2, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kukoroma kwake kunasaidia kutisha wezi
   
 4. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2012
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Halafu kauchapa bila wasi!
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  Mkuu Nzi i ataingia kwenye Tundu hiLo hi kali sana Hufaikuwa Mlinzi au ndio joto la Dares-alaamu?????????????
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Naomba unisaidie kuikuza yangu.
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Picha ya kwangu vipi nzuri? Umeipenda?
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Jan 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  Kukoroma kwake kunasaidia kufukuza Mbu au Nzi wa Dares-Salama huyu anaonyesha atakuwa ni Mlinzi wa kimakonde:lol::hatari:
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Haaaaaaaaa hapo usalama wa mali 100% ni kama sirikali ya tz imelala halafu wanatuambia ulinzi upo safi,bush anakuja na ndege ya kijesh anachukua twiga anaondoka
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Haaaaaaa
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Yap ya ukweli Mzizimkavu
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Haaaa kwa kwenda mbele
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Wataalamu watakuja kukusaidia
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Jan 2, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  One of my favourite men in the whole world! I love black history!
  Na niko mobile, basi hapa najimwayamwaya. Karibu juisi ya ukwaju na matango,lol
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Jan 2, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hii tabia ya kudekea strangers umeanza lini mkwe? Afu ukamuambie makaburini akuanzishie thread!
   
 16. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #16
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  khaaaa! Mkwe shikamoo.
   
 17. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #17
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  HIZI NGUO HAZIWAHI KUKUTANA NA MAJI TOKA ZIANZE KUVALIWALIWA
  KOSAKOSA HATA MVUA IKINYESHA!:hatari:
   
 18. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #18
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  weeeee unatafuta nn chini ya miguu yake!
   
 19. FIDA

  FIDA Member

  #19
  Jan 2, 2012
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  du ya jana bado aijaisha
   
 20. Zumbukuku

  Zumbukuku Member

  #20
  Jan 2, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mimi ndiyo hendisome... Ilimchukua mpiga picha siku nzima kupata hilo tabasamu..
  shrek33.JPG
   

  Attached Files:

Loading...