Picha z Redds fashion's Gala

Huyu si alikuwa demu wa zamani wa MwanaFA ina maana kwa sasa yuko na Hasheem?

maslahi baba maslahi...hata Aly choki zamani alikuwa Twanga pepeta na sasa yupo kivyake kisa maslahi. Hahim Sabiti maslahi yake na bata si mchezooo
 
attachment.php
hivi nayo hii ni nguo eeeh?
 
duh! Mbona huyu anatisha??
anatisha balaaa huyu ukikutana nae gafla kona za kinondoni makaburini lazima utoke baru nla ajabu break ya kwanza mwananyamala hospital.mh eti super model me hata sielewagi kwakweli tanzania kwa kupeana vyeo na majina ni balaaaa
 
Back
Top Bottom