Wakati mwingine relationship tunazopitia ni kwa makusudi ya kujifunza baadhi ya mambo, mtu relationship ya kwanza inaweza ika-fail lakini ikaja ya pili kupitia changamoto ya kwanza akawa amejifunza kumbe wanaume ndivyo walivyo, btw kaujumbe kazuri hata wadada wanaweza kukageuza na kujazia maneno mengine