Baada ya mapinduzi ya kifikra na upatikanaji wa demokrasia ya kweli nchini kwetu, naamini huyu mtoto akifika katika hali ya utu uzima; ata-flash back kwa kuangalia hii picha na kusema lolote. Je unafikiri atasema nini?

NI kweli inaleta tumaini jipya kwa maisha ya watz ya miaka ijayo. Dogo akikua lazima naye ajivunie kuwa mwanamapinduzi tangu akiwa mtoto kwani bila shaka kipindi hicho tutakuwa tumeshawatoa hawa nyoka wenye magamba