Those old beautiful days memories die hard! wish I can turn back the time....!!!
Golden days never come twicepriceless..
hahahah bitter truth...somebody says 'hello' by adelle...Golden days never come twice
Ila mrangirangi mchoyo
If I could turn back the time chake chake kitivo utondolo shimoni mpaka dochiKuna mda nawaza ingeweza kurudi hata siku moja nyuma niwe mtoto kama zaman.
Nakikumbuka zaman nikisakiziwa mwanamke nimtongoze nalowa mpaka jasho linanitoka kwa woga,
. Nakumbuka siku nmeenda kwa mganga wa kienyeji ili anipe dawa ya wanawake,
. Nakumbuka sehem nilipojenga kakibanda kangu ka miti nikiishi humo lakn leo hata raman haipo,
. Nafikiria kuwa haitajirudia tena maisha tunatoka mbali sana