BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,341
Hongera dogo.
Hata 50 haifiki.Haizidi 100
Inachezea kwenye 80..Hata 50 haifiki.
weka hela zako tuone....mfyyuyyHata 50 haifiki.
Si atakuwa amefaidi pia mkuu?Awe makini sana, zisije zikaishia kwenye mapaja ya dada zetu.
Si atakuwa amefaidi pia mkuu?




Akifuata maadili sana atakuja kuwa kama Michael Jackson mwacheni ale ujana lakini kumkumbusha ni muhimu.
Kweli aisee atakua kapewa utamu pia.
HahahahAwe makini sana, zisije zikaishia kwenye mapaja ya dada zetu.
Hahha ni zakeKama zake vile....