acha hasira za kijinga mkuu, calm downPicha yako ya leo? Umeipiga leo? Wewe ni bashite au huyo jamaa mwingine hapo? Umekuja kutuchokoza ili utupime mkojo?
Sorry mkuu kama umekwazika, I was just kidding. Hata siko na hasira yoyote...acha hasira za kijinga mkuu, calm down
okay!Sorry mkuu kama umekwazika, I was just kidding. Hata siko na hasira yoyote...
Acha mzaha hao police hapo kando unawaita nyumbu!Mkuu akipita nyumbu wote kimya
Kuna kitu kinaitwa underlying meaning. Ndicho tunapaswa kukiangalia kwenye hii topicPicha yako ya leo? Umeipiga leo? Wewe ni bashite au huyo jamaa mwingine hapo? Umekuja kutuchokoza ili utupime mkojo?
Hata mimiMi nimekuelewa