Majanga lakini si ya SNURA hii ni featuring JK... Eti ni MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA..!!??? Kazi ipo na hatosahaulika kamwe kama alivyosema mwenyewe...
Meneja Mradi wa Tanesco Emmanuel Manirabona (kulia) akiwaeleza jambo wajumbe wa shirikisho la viwanda nchini CTI wakati walipotembelea miradi ya Tanesco mara baada ya mkutano wa wadau hao jana.(Picha na Omar Fungo)