Picha yangu ya leo hii

Kutakuwa na Faida gani kwa wananchi kuwa na Serikali 3? . Serikali 2 zilizokuwepo madarakani hazina faida kwa walala hoi je hizo Serikali 3 zitawanufaisha kivipi Wananchi wake kama sio Mzigo wa bure usiokuwa na faida jamani? Wa-Tanganyika amkeni acheni usingizi huo.
 
Safi sana napenda wazee wenye mawazo mbadala kama hawa!
 
Serikali tatu zitaimarisha muungano na kuondoa manunguniko ya washirika wake!
 

Baadhi ya wakazi wa mji wa Arusha wakiangalia Sehemu waliyokuwepo baadhi ya majeruhi wa mlipuko wa bomu katika mkutano wa kuhitimisha kampeni za uchaguzi za udiwani jimboni humo uliokuwa unafanywa na Chama cha Chadema jana jioni.
 
Hiyo Sio picha yako mzizimkavu huyo ni Colin Powell aliyekuwa secretary of state kwenye utawala wa bush!
 
Hiyo Sio picha yako mzizimkavu huyo ni Colin Powell aliyekuwa secretary of state kwenye utawala wa bush!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…