Picha yangu ya leo hii


Rais Jakaya Kikwete, akihutubia mkutano wa Mawaziri wa Baraza la Ulinzi na Amani la Umoja wa Afrika (AU), jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Kamisha wa baraza hilo, Balozi Ramtane Lamamra.
 

HP Gauff Resident engineer Chrispin Mwashara briefs journalists and Dar es Salaam Water Supply and Sewerage Authority (Dawasa) officials on progress made in laying of water pipeline from Lower Ruvu in Coast Region to Dar es Salaam. (Photo: Selemani Mpochi)
 

Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi (kulia), akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Lennarth Hjelmaker, baada ya Balozi huyo kumtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana.
 

Tunu Pinda, wife of Prime Minister Mizengo Pinda, mixes with children at Matumaini village in Dodoma on Tuesday during a short ceremony at which various items were handed over to the children. (Photo: Omar Fungo)
 

Rais Jakaya Kikwete, akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi mpya wa Morocco nchini, Abdelilah Benryane, Ikulu jijini Dar es Salaam jana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…