Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi (katikati), akimkabidhi Mchumi katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Yamungu Jackson Jacob (kulia) cheti cha kutambuliwa na shirika lisilo la kiserikali la Under The Same Sun (UTSS) kwa mafanikio yake katika elimu. Hafla hiyo iliyohudhuriwa na Muasisi na Mtendaji Mkuu wa UTSS, Peter Ash (kushoto), ilifanyika jijini Dar es Salaam juzi.