Picha yangu ya leo hii

Xx watanzania bhaana 2nakaxumba ya kupenda hela kuliko kujal nafx za wa2 wao wanao waongoza xo 2claumu xana coz ndo mambo yalivyo
 
Picha hiyo inaonyesha jinsi watanzania wanavyochukua vyakula vyetu km sukari, mahindi nk na kuuza nchi za nje wakati huku kwetu vinakuwa vitu adimu.
 
afu wanakataa wafanyabiashara wasiimport sukari tokanje wakati wao wanaitoa wakiichukua kwa bei nafuu na kuiuza kwa bei ya juu huku wakisababisha na kwetu iwe bei juu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…