? Kubembelezana mpaka lini wakati nyoka wetu mpendwa anazidi kudhoofika? Kipi ni cha muhimu zaidi: magamba machafu yaliyopauka na kumaliza muda wake au afya ya nyoka wetu mpendwa? Aiiii !!!Β
Kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Alex Malasusa, akiwa amembeba mtoto baada ya kumalizika kwa ibada ya Krismas kwenye Kanisa la Azania Front, jijini Dar es Salaam jana