Picha yangu ya leo hii


Mgombea ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chadema, Joshua Nassari (Kulia) akipewa baraka na mchuuzi wa viatu soko la USA River alipofanya kampeni ya mguu kwa mguu jana mchana.
 

President Jakaya Kikwete speaks to Dar es Salaam elders at the Diamond Jubilee Hall yesterday. He is flanked by (from R) Vice President Dr Mohamed Gharib Bilal, Dar es Salaam Regional Commissioner Said Mecky Sadiki, Dar es Salaam elders Chairman Idd Simba and Prime Minister Mizengo Pinda. (Photo: Guardian Photographer)
 

Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Benjamin Mkapa, akizindua kampeni za uchaguzi mdogo Jimbo la Arumeru Mashariki pamoja na kumnadi mgombea wa chama hicho, Sioi Sumari,kwenye uwanja wa mpira wa Ngarasero Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha jana jioni.(PICHA: KHALFAN SAID)
 

Primary and secondary school students march as they commemorate the Mathematics Day (PI Day) at Jangwani Secondary School in Dar es Salaam yesterday.(Photo: Omar Fungo)
 

Mgombeaubunge jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joshua Sumari, akiwa amebebwa juu na akina mama wa Sing'isi baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni kijijini hapo kwenye mfululizo wa kampeni za uchaguzi mdogo Jimbo la Arumeru Mashariki.(PICHA: KHALFAN SAID)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…