Picha yangu ya leo hii


Mgombea ubunge jimbo la Arumeru Mashariki kupitia CHADEMA, Joshua Nassari (Kushoto) akionyesha alama ya chama hicho ya V wakati akiwasili kwenye viwanja vya shule ya msingi Leganga, Usa River wilayani Arumeru akifuatana na Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe, tayari kwa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo jimboni humo jana.
 

Wafuasi wa Chadema wakielekea katika uzinduzi wa kampeni ya uchaguzi wa jimbo la Arumeru Mashariki jana.
 

President Jakaya Kikwete inspects an irrigation project at Msoga village in Bagamoyo District, Coast region, yesterday. With him are Coast Regional Commissioner Mwantumu Mahiza and Msoga Village Chairman Herman Katoto Semindu. (Photo: State House)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…