Picha yangu ya leo hii


Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein (wa 2kulia), akichukua chakula cha mchana ambacho kiliandaliwa na Vikosi vya Ulinzi na Usalama kutokana na kushiriki kwao maadhimisho ya sherehe za miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilizofanyika katika Uwanja wa Amani, Zanzibar.(PICHA: IKULU ZANZIBAR)
 

Ngoni tribe elders dance during the commemoration of Majimaji War heroes in Songea, Ruvuma region, yesterday. Majimaji War was fought in 1905-1907 protesting the Germany rule. (Photo: Muhidin Amri)
 

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (kushoto), akisisitiza jambo wakati akichangia mada katika kongamano la kuelimisha vijana kuhusu Katiba lililoandaliwa na Femina Hip. Kulia ni Mbunge wa Bumbuli, January Mmakamba. (Picha na Omar Fungo)
 

Rais Jakaya Kikwete akiongea na Balozi mpya wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dr. Diodorus Kamala, Ikilu jijini Dar es Salaam wakati Balozi huyo alipokwenda kumuaga jana.
 

Motorists pass through a flooded parch of Uhuru road near Uhuru Girls Primary School in Dar es Salaam on Thursday. (Photo: Selemani Mpochi)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…