Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,318
- 33,125
KAFU hawana Helkopta TehtehtehtehMbona hakuna ya KAFU? Halafu hizo njia zilizopita ni noma, ya ccm imewazunguka kinamama, ya cdm ime piga sarakasi, hahaha.
Kwenye kampeni ya Uchaguzi ilipotea njia hahahahahahahah ndio maana inapiga misele mingi tuuHii ya jembe na nyundo ni hatari sana inacheza na maisha ya hao wana igunga, angalia misele yake kwanza ilivyotaka kuondoka na masaburi ya hao watu, lol!!!!
Natabiri washindi ni CCMtarehe 2.10 jumapili