Picha yangu bora 2010- Yote njaa


Ndio wamewezeshwa hapo??

Wanafanya kazi ngumu katika mazingira duni, hao samaki kama uonavyo ni wazuri na wanatamanisha lakini hawajafunikwa, kwa sababu ndio njia pekee ya kuvuta wateja.

Mgambo wa City (Zero Brain) akija hapo anampiga mama wa watu marungu na kunyang'anya biashara yake, hapo ana wajukuu 6-10 nyumbani wa kuwalisha, kuwavisha na kuwasomesha....

Sadly enough, akipewa kipande cha khanga anadamka saa 10 alfajiri kwenda kupigia kura Chama Cha Majambazi...:Cry:
 

Dah aise you almost made me drop a tear there.
 
pole mama ndo matokeo ya uchaguzi feki hayo..................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…