Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,802 Reaction score 1,606 Jan 1, 2011 #2 Kweli yote njaa mie nimewatamani hao samaki tuu
Zipuwawa JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 3,050 Reaction score 656 Jan 1, 2011 #3 Mimi namuonea huruma tu huyo mama maana maneno aliyoandika hapo kweli yanaonesha anapatashida sana ndio maana anasema Yote Njaa!
Mimi namuonea huruma tu huyo mama maana maneno aliyoandika hapo kweli yanaonesha anapatashida sana ndio maana anasema Yote Njaa!
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,359 Reaction score 2,381 Jan 1, 2011 #4 Hapo kama kule kwetu Nangurukuru
Zipuwawa JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 3,050 Reaction score 656 Jan 1, 2011 #5 Mzee unanikumbusha Nangurukuru kipindi hicho nakula samaki Inkoskaz said: Hapo kama kule kwetu Nangurukuru Click to expand...
Mzee unanikumbusha Nangurukuru kipindi hicho nakula samaki Inkoskaz said: Hapo kama kule kwetu Nangurukuru Click to expand...
Smartboy JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 1,111 Reaction score 129 Jan 1, 2011 #6 Ingependeza kama angevaa jezi ya ccm
roselyne1 JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 1,365 Reaction score 97 Jan 1, 2011 #7 nimetamani hao samaki.....
Magulumangu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 3,051 Reaction score 462 Jan 1, 2011 #8 Inkoskaz said: Hapo kama kule kwetu Nangurukuru Click to expand... Acha mkuu samaki wa nangurukuru pale kwenye ka mlima lazima trafik walambe chao then samaki unakula duhhh....
Inkoskaz said: Hapo kama kule kwetu Nangurukuru Click to expand... Acha mkuu samaki wa nangurukuru pale kwenye ka mlima lazima trafik walambe chao then samaki unakula duhhh....
shiumiti JF-Expert Member Joined Jun 4, 2009 Posts 435 Reaction score 19 Jan 1, 2011 #9 Lazima itakuwa Ntwara tuu hiyo!!!!!
Zipuwawa JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 3,050 Reaction score 656 Jan 1, 2011 #10 Muoneeni huruma jamani na si kutamani hao samaki wamama waliumbwa kwa huruma daima Maria Roza said: Kweli yote njaa mie nimewatamani hao samaki tuu Click to expand...
Muoneeni huruma jamani na si kutamani hao samaki wamama waliumbwa kwa huruma daima Maria Roza said: Kweli yote njaa mie nimewatamani hao samaki tuu Click to expand...
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,359 Reaction score 2,381 Jan 1, 2011 #11 shiumiti said: Lazima itakuwa Ntwara tuu hiyo!!!!! Click to expand... bwana wewe!!
Ms Judith JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 2,563 Reaction score 932 Jan 1, 2011 #12 wanawake na maendeleo. heko wanawake wote, ule wakati wa magolikipa umekwisha
Zipuwawa JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 3,050 Reaction score 656 Jan 1, 2011 #13 Judith japo wanawake kwa maendeleo ila wapo wanapatashida sana kutafuta tonge lao la kila siku! Miss Judith said: wanawake na maendeleo. heko wanawake wote, ule wakati wa magolikipa umekwisha Click to expand...
Judith japo wanawake kwa maendeleo ila wapo wanapatashida sana kutafuta tonge lao la kila siku! Miss Judith said: wanawake na maendeleo. heko wanawake wote, ule wakati wa magolikipa umekwisha Click to expand...
boma2000 JF-Expert Member Joined Oct 18, 2009 Posts 3,321 Reaction score 318 Jan 1, 2011 #14 Jojipoji kwa hii picha chukua $1500 kupitia njia ya mungu ya upepo, big up
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,832 Reaction score 637 Jan 2, 2011 #15 Matunda ya ya ccm!
Mtu wa Pwani JF-Expert Member Joined Dec 26, 2006 Posts 4,192 Reaction score 678 Jan 2, 2011 #16 hapa ni utata mtupu yote njaa kwa mnunuzi au kwa muuzaji?
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,859 Jan 2, 2011 #17 Yaani bibi kanitia njaa baada ya kuona masamaki hayo, basi uyapate na ugali/wali na maharage! Food for soull
Yaani bibi kanitia njaa baada ya kuona masamaki hayo, basi uyapate na ugali/wali na maharage! Food for soull
JoJiPoJi JF-Expert Member Joined Aug 8, 2009 Posts 2,977 Reaction score 3,444 Jan 2, 2011 Thread starter #18 Ila hawa ndio wanaongoza kwa kuipigia kura CCM
Twilumba Platinum Member Joined Dec 5, 2010 Posts 13,476 Reaction score 16,188 Jan 2, 2011 #19 ''Maisha bora kwa kila Mtanzania''-JK
Ms Judith JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 2,563 Reaction score 932 Jan 2, 2011 #20 Zipuwawa said: Judith japo wanawake kwa maendeleo ila wapo wanapatashida sana kutafuta tonge lao la kila siku! Click to expand... sawa laki i katika maisha ni kawaida kutaabikia tonge na wanawake sasa hawagwai tena taabu za kusaka tonge kama wanaume, so pamoja na haja ya kuwezeshwa zaidi, lakini nafarijika kuona wanawake wamepuuza hizo taabu nao wameamka kupambana kiume
Zipuwawa said: Judith japo wanawake kwa maendeleo ila wapo wanapatashida sana kutafuta tonge lao la kila siku! Click to expand... sawa laki i katika maisha ni kawaida kutaabikia tonge na wanawake sasa hawagwai tena taabu za kusaka tonge kama wanaume, so pamoja na haja ya kuwezeshwa zaidi, lakini nafarijika kuona wanawake wamepuuza hizo taabu nao wameamka kupambana kiume