Mumy hata mi mwenyewe sijuagi pakufutia.
Bonny na Raimundo muelekezeni Super women 2 kama mnajua namna ya kufuta. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani nilijua tu huwezi kukaa kimya huku kina Bonny na Super women 2 wananinyanyasa.
Kweli nimeamini mtu chake.
Unampenda mwanamke mwenzio??........ Lazima una lako jambo wewe!![emoji32][emoji32][emoji32]Kumbe nini chikira.??
Michezo ipi. [emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha ha ha ha hyo hastag sio ya mchezo
Cheti chako tafadhali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani wewe huwezi mpenda mwanaume mwenzio. Chuki binafsi. Nimempenda tuUnampenda mwanamke mwenzio??........ Lazima una lako jambo wewe!![emoji32][emoji32][emoji32]
Ile ya Project ya diamond na zari kwenye ndege on tha way from SAMichezo ipi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha ha ha umeona ndugu yangu enhee kasikia unaitwa ivan fastaa kajaYaani nilijua tu huwezi kukaa kimya huku kina Bonny na Super women 2 wananinyanyasa.
Kweli nimeamini mtu chake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ujirani mwema uliwaponzaIle ya Project ya diamond na zari kwenye ndege on tha way from SA
Ha ha ha ha kama ambavyo umetuponza Mie na wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ujirani mwema uliwaponza
Ha ha ha ha ha umeona ndugu yangu enhee kasikia unaitwa ivan fastaa kaja
Super women 2 sasa nddio maana nilielewa kwann alianzia ile scene ya mwisho ya hosptalYaani hapa naona movie imeisha kabla hata haijaanza.
Nadhani nyie muendelee tu, mimi simo tena, najiuzulu ingawa siyo kwa hiari kama Mkuu wa Mko wa Kilimanjaro.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha ha ha kama ambavyo umetuponza Mie na wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].yaani ww ndo umeamua iishie hapaYaani hapa naona movie imeisha kabla hata haijaanza.
Nadhani nyie muendelee tu, mimi simo tena, najiuzulu ingawa siyo kwa hiari kama Mkuu wa Mko wa Kilimanjaro.
Super women 2 sasa nddio maana nilielewa kwann alianzia ile scene ya mwisho ya hosptal
MmhhhHa ha ha ha ha umeona ndugu yangu enhee kasikia unaitwa ivan fastaa kaja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].yaani ww ndo umeamua iishie hapa
Ushauza mechi wewe sikupi pasi siku nyengneNimeambiwa nichague kati ya movie au yeye, nikasema bora niachane na movie tu. Labda iwe movie ya kisiri siri.
Vip tena wa mkoanMmhhh
Hahahaha! Wewe Iceman 3D unanichekesha sana walahi!ooh! God!
unanikoshaga sana.
kama Bashite anavo mkosha mkuu wa nchi.