Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,076 Reaction score 126,153 May 17, 2017 #181 Bonny said: Vip tena wa mkoan Click to expand... [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,627 May 17, 2017 #182 Bonny said: Ushauza mechi wewe sikupi pasi siku nyengne Click to expand... Najaribu kujiuliza nani kamwambia niko huku nashindwa kuelewa, naendelea kufanya uchunguzi.
Bonny said: Ushauza mechi wewe sikupi pasi siku nyengne Click to expand... Najaribu kujiuliza nani kamwambia niko huku nashindwa kuelewa, naendelea kufanya uchunguzi.
Bonny JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 13,370 Reaction score 30,010 May 17, 2017 #183 Raimundo said: Najaribu kujiuliza nani kamwambia niko huku nashindwa kuelewa, naendelea kufanya uchunguzi. Click to expand... Nasikia mnashare password
Raimundo said: Najaribu kujiuliza nani kamwambia niko huku nashindwa kuelewa, naendelea kufanya uchunguzi. Click to expand... Nasikia mnashare password
Ivan mapalala JF-Expert Member Joined Feb 3, 2017 Posts 285 Reaction score 103 May 17, 2017 #184 Super women 2 said: Nampenda huyu Dada. Ni mzuri,Japo anaumri mkubwa, ila anajua kuutunza mwili wake vyema Click to expand... Ana umri gani?? Mtoa uzi weka mubashara umri wake
Super women 2 said: Nampenda huyu Dada. Ni mzuri,Japo anaumri mkubwa, ila anajua kuutunza mwili wake vyema Click to expand... Ana umri gani?? Mtoa uzi weka mubashara umri wake
Ndahani Platinum Member Joined Jun 3, 2008 Posts 18,158 Reaction score 9,181 May 17, 2017 #185 Super women 2 said: Nampenda huyu Dada. Ni mzuri,Japo anaumri mkubwa, ila anajua kuutunza mwili wake vyema Click to expand... Umri Mkubwa ndio umri gani? Ufaransa kuna mambo yanaendelea hakunaga
Super women 2 said: Nampenda huyu Dada. Ni mzuri,Japo anaumri mkubwa, ila anajua kuutunza mwili wake vyema Click to expand... Umri Mkubwa ndio umri gani? Ufaransa kuna mambo yanaendelea hakunaga
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,627 May 17, 2017 #186 Bonny said: Nasikia mnashare password Click to expand... Ha ha ha, changu chake chake changu. Haina haja ya kunyimana vitu vidogo kama hivyo.
Bonny said: Nasikia mnashare password Click to expand... Ha ha ha, changu chake chake changu. Haina haja ya kunyimana vitu vidogo kama hivyo.
Bonny JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 13,370 Reaction score 30,010 May 17, 2017 #187 Raimundo said: Ha ha ha, changu chake chake changu. Haina haja ya kunyimana vitu vidogo kama hivyo. Click to expand... Umerogwa wewe sio bure
Raimundo said: Ha ha ha, changu chake chake changu. Haina haja ya kunyimana vitu vidogo kama hivyo. Click to expand... Umerogwa wewe sio bure
Distinction JF-Expert Member Joined Sep 20, 2014 Posts 747 Reaction score 399 May 17, 2017 #188 mwenda wazimu said: ukiwa na pesa na ujue kuitumia, isikutumie unapendeza sana!! HAKUNA MBAYA KWENYE PESA Click to expand... asilimia mia kweli kabisa...
mwenda wazimu said: ukiwa na pesa na ujue kuitumia, isikutumie unapendeza sana!! HAKUNA MBAYA KWENYE PESA Click to expand... asilimia mia kweli kabisa...
Super women 2 JF-Expert Member Joined Nov 16, 2016 Posts 5,164 Reaction score 6,552 May 17, 2017 Thread starter #189 Ivan mapalala said: Ana umri gani?? Mtoa uzi weka mubashara umri wake Click to expand... Kwani mimi Ivan. Maana Sina hata uhakika hata diamond kama kaambiwa umri sahihi
Ivan mapalala said: Ana umri gani?? Mtoa uzi weka mubashara umri wake Click to expand... Kwani mimi Ivan. Maana Sina hata uhakika hata diamond kama kaambiwa umri sahihi
Super women 2 JF-Expert Member Joined Nov 16, 2016 Posts 5,164 Reaction score 6,552 May 17, 2017 Thread starter #190 Ndahani said: Umri Mkubwa ndio umri gani? Ufaransa kuna mambo yanaendelea hakunaga Click to expand... Miaka mingi ndo umri mkubwa
Ndahani said: Umri Mkubwa ndio umri gani? Ufaransa kuna mambo yanaendelea hakunaga Click to expand... Miaka mingi ndo umri mkubwa