PICHA YA WIKI

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
18403415_1673887872917729_3037389770901748921_n.jpg

MBUNGE WA KOROGWE VIJJIJI AKIOKOA WAPIGA KURA WA JIMBO HILO (sina hakika kama ni wake) HUKU NA YEYE AKIOKOLEWA KIPICHA ZAIDI
 
Ni Profesa Majimarefu ama? Kama ni yeye si huwa wanasema ni mchawi nambari wani Bongo hata Zitto na Mzee Mzindakaya hawaoni ndani? Kashindwa kufanya mauchawi hayo maji yakakauka au mvua hii hatarishi ikaruka jimbo lake? Uchawi ni kwa ajili ya kudhuru watu tu na siyo kwenye shughuli za maendeleo na kujiokoa?
 
Atakayempa kura mbunge kisa alikubeba wakati mvua inanyesha atakua ana matatizo, kwasababu kilichosababisha maji kutuama ni kukosa miundombinu ya maji taka, mitaro na mifereji ya kuyaelekeza hayo maji sehemu stahiki.

Huyo mbunge ameshindwa kusimamia hayo yote badala yake kaja na fulana nyeupe kuja kukubeba.
 
Bongo movie katika ubora wake.
 
Alienda kupiga picha tu, Hakwenda kusaidia kuokoa. Kwa maana na yeye pia anasaidiwa asidondoke. Hao wanaomsaidia pekee wangetosha kubeba watu wawili.
Kipindi cha uchaguzi usishangae akatumia hizo picha kwenye kampeni. Kwanza kwa kiasi flani ni dharau kubwa kwa anaotaka kuwaaminisha alikua anaokoa watu. Anawaona ni wajinga.

Labda kama alipigwa bila dhamira yake, na watu wakaitumia isivyo.
 
Atakayempa kura mbunge kisa alikubeba wakati mvua inanyesha atakua ana matatizo, kwasababu kilichosababisha maji kutuama ni kukosa miundombinu ya maji taka, mitaro na mifereji ya kuyaelekeza hayo maji sehemu stahiki.

Huyo mbunge ameshindwa kusimamia hayo yote badala yake kaja na fulana nyeupe kuja kukubeba.
Sijui kama watakuelewa hapa hao wapiga kura wake
 
18403415_1673887872917729_3037389770901748921_n.jpg

MBUNGE WA KOROGWE VIJJIJI AKIOKOA WAPIGA KURA WA JIMBO HILO (sina hakika kama ni wake) HUKU NA YEYE AKIOKOLEWA KIPICHA ZAIDI
Inanikumbusha yule mkuu wa wilaya ya iringa ambaye kipind JPM hajateua wakuu wa mikoa yeye alikuwa busy kupiga picha na mabox ya madawa na magunia ...
Baada tu ya rais kuteua wakuu wa mikoa hajapiga tena
 
Atakayempa kura mbunge kisa alikubeba wakati mvua inanyesha atakua ana matatizo, kwasababu kilichosababisha maji kutuama ni kukosa miundombinu ya maji taka, mitaro na mifereji ya kuyaelekeza hayo maji sehemu stahiki.

Huyo mbunge ameshindwa kusimamia hayo yote badala yake kaja na fulana nyeupe kuja kukubeba.
Kama mtu anakaa bondeni hata utengeneze mifereji gani mafuriko yatatokea tu
 
Jamaaa walimwambia anasinzia bungeni hawampi kura, akasema nanukuu"Bungeni nitaingia tena nitaenda na mto kabisa"mwisho wa kunukuu. Na kweli c karudi bungeni
 
Ni Profesa Majimarefu ama? Kama ni yeye si huwa wanasema ni mchawi nambari wani Bongo hata Zitto na Mzee Mzindakaya hawaoni ndani? Kashindwa kufanya mauchawi hayo maji yakakauka au mvua hii hatarishi ikaruka jimbo lake? Uchawi ni kwa ajili ya kudhuru watu tu na siyo kwenye shughuli za maendeleo na kujiokoa?
Profesa huyu
 
Back
Top Bottom