Picha ya week

white hat

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
3,321
2,490
Akiwa na bill gates
FB_IMG_14850622421401622.jpg
 
Wanapongezana kwa madili waliyopiga!!!

Yale mambo ya ukimw, vyandarua n.k.
 
Ona bilionea kashika karatasi mkononi... simple simple hata brief case hana..., awe mbongo..Looh! hapo ungekuwa msanduku huooo!... wenye matairi...
 
Perhaps, though portrays an image of utter simplicity and sense of disorganization for a person of his caliber!...
Sasa unarudi kule ulikokukataa, .. kujifanya ufalme wa kiafrika. Simple, simple, ....... angelikuwa na walinzi na bunduki etc, etc..... kama .....
 
Sasa unarudi kule ulikokukataa, .. kujifanya ufalme wa kiafrika. Simple, simple, ....... angelikuwa na walinzi na bunduki etc, etc..... kama .....
Nakubaliana na wewe mkuu... ni namna tu ya mitazamo tofauti, kwangu nafikiria kwake kubeba hivyo ni somo kwa wengine ambao wangetafuta iwe issue kubwa kwa vile tu wana uwezo... japo kuna kiasi chake katika hilo...
 
Back
Top Bottom