Mamaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 5,243 Reaction score 4,745 Jan 9, 2016 #21 Mambo ya mshana jr haya
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,731 Jan 9, 2016 #22 fresh ya shamba said: Labda ilishuhudia aliyoyafanya mkeo Click to expand... Duh! Hii ni nouma sana...
fresh ya shamba said: Labda ilishuhudia aliyoyafanya mkeo Click to expand... Duh! Hii ni nouma sana...
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 16,129 Reaction score 18,608 Jan 9, 2016 #23 Kapicha tu
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,936 Reaction score 30,051 Jan 9, 2016 #24 zabron k said: Waungwana, Miezi 4 iliyopita nilisafiri kikazi na kuacha picha a ukutani ikiwa inapendeza na nzuri. Sasa nimerudi nimekuta picha ina alama ya michirizi ya jasho kutoka kichwani kupitia mashavuni. Utakuwa mkono wa mtu? Click to expand... Dah, Nimeamini bongo joto sana aisee kipindi hiki. Yaan hadi picha inatoa jasho
zabron k said: Waungwana, Miezi 4 iliyopita nilisafiri kikazi na kuacha picha a ukutani ikiwa inapendeza na nzuri. Sasa nimerudi nimekuta picha ina alama ya michirizi ya jasho kutoka kichwani kupitia mashavuni. Utakuwa mkono wa mtu? Click to expand... Dah, Nimeamini bongo joto sana aisee kipindi hiki. Yaan hadi picha inatoa jasho
N Nikilewa mniache JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 19,332 Reaction score 52,060 Jan 9, 2016 #25 zabron k said: Waungwana, Miezi 4 iliyopita nilisafiri kikazi na kuacha picha ya ukutani ikiwa inapendeza na nzuri. Sasa nimerudi nimekuta picha ina alama ya michirizi ya jasho kutoka kichwani kupitia mashavuni. Utakuwa mkono wa mtu? Click to expand... Sio mkono wa mtu mkuu. Hiyo ni picha ya mtu
zabron k said: Waungwana, Miezi 4 iliyopita nilisafiri kikazi na kuacha picha ya ukutani ikiwa inapendeza na nzuri. Sasa nimerudi nimekuta picha ina alama ya michirizi ya jasho kutoka kichwani kupitia mashavuni. Utakuwa mkono wa mtu? Click to expand... Sio mkono wa mtu mkuu. Hiyo ni picha ya mtu
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,521 Reaction score 6,517 Jan 9, 2016 #26 Itakuwa umetangaza nia mapema hii tena jimbo la.maji marefu.
funzadume JF-Expert Member Joined Jan 28, 2010 Posts 13,650 Reaction score 21,489 Jan 9, 2016 #27 Hii thread imenichekesha sana lol
C chalotte JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 238 Reaction score 67 Jan 9, 2016 #28 zabron k said: Waungwana, Miezi 4 iliyopita nilisafiri kikazi na kuacha picha ya ukutani ikiwa inapendeza na nzuri. Sasa nimerudi nimekuta picha ina alama ya michirizi ya jasho kutoka kichwani kupitia mashavuni. Utakuwa mkono wa mtu? Click to expand... Unamaanisha picha ya magufuli iliyotoka Jana?
zabron k said: Waungwana, Miezi 4 iliyopita nilisafiri kikazi na kuacha picha ya ukutani ikiwa inapendeza na nzuri. Sasa nimerudi nimekuta picha ina alama ya michirizi ya jasho kutoka kichwani kupitia mashavuni. Utakuwa mkono wa mtu? Click to expand... Unamaanisha picha ya magufuli iliyotoka Jana?
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,521 Reaction score 6,517 Jan 9, 2016 #29 Shark said: Dah, Nimeamini bongo joto sana aisee kipindi hiki. Yaan hadi picha inatoa jasho Click to expand... Heh, wewe itakuwa una undugu na Newton, umefikiria deep.
Shark said: Dah, Nimeamini bongo joto sana aisee kipindi hiki. Yaan hadi picha inatoa jasho Click to expand... Heh, wewe itakuwa una undugu na Newton, umefikiria deep.
manchoso JF-Expert Member Joined Jul 27, 2011 Posts 1,605 Reaction score 2,058 Jan 9, 2016 #30 zabron k said: Waungwana, Miezi 4 iliyopita nilisafiri kikazi na kuacha picha ya ukutani ikiwa inapendeza na nzuri. Sasa nimerudi nimekuta picha ina alama ya michirizi ya jasho kutoka kichwani kupitia mashavuni. Utakuwa mkono wa mtu? Click to expand... mkuu lete picha kwanza ndo tutakuamini
zabron k said: Waungwana, Miezi 4 iliyopita nilisafiri kikazi na kuacha picha ya ukutani ikiwa inapendeza na nzuri. Sasa nimerudi nimekuta picha ina alama ya michirizi ya jasho kutoka kichwani kupitia mashavuni. Utakuwa mkono wa mtu? Click to expand... mkuu lete picha kwanza ndo tutakuamini
niachiemimi JF-Expert Member Joined Feb 18, 2015 Posts 3,657 Reaction score 5,411 Jan 9, 2016 #31 Umechezewa na wanga
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,573 Jan 9, 2016 #32 Copy to mshana jr
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,830 Reaction score 12,293 Jan 9, 2016 #33 Unyevu tu huo, ishatokea mi ukutani tena mara nyingi.
C Camp Gilgal JF-Expert Member Joined Dec 13, 2014 Posts 4,453 Reaction score 4,594 Jan 9, 2016 #34 Waafrika bhana! No wonder mnaua vikongwe, albino, wenye upaa. Nk.
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,201 Reaction score 28,088 Jan 9, 2016 #35 Chosen generation said: Waafrika bhana! No wonder mnaua vikongwe, albino, wenye upaa. Nk. Click to expand... Kwani nyie wazungu hamnaga hizi matatizo???
Chosen generation said: Waafrika bhana! No wonder mnaua vikongwe, albino, wenye upaa. Nk. Click to expand... Kwani nyie wazungu hamnaga hizi matatizo???
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,261 Reaction score 69,839 Jan 9, 2016 #36 í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸
Majigo JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 5,519 Reaction score 1,831 Jan 9, 2016 #37 imelimishwa sana ucku hiyo mkuu!...ninauzoefu na hayo mambo toka kwa bibi!..wanga wanaifinya nyota yako..haraka sana nenda kafanye Chekap Jigo
imelimishwa sana ucku hiyo mkuu!...ninauzoefu na hayo mambo toka kwa bibi!..wanga wanaifinya nyota yako..haraka sana nenda kafanye Chekap Jigo