Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Dec 23, 2011 #1 Huyu ni Mh John Alcohol Magufuli akionesha picha ya Barabara za juu Dar Es Salaam, Mh, ninahoFia tusije tukaishia kunawa..kwa hiyo jipatie nakala yako mapema
Huyu ni Mh John Alcohol Magufuli akionesha picha ya Barabara za juu Dar Es Salaam, Mh, ninahoFia tusije tukaishia kunawa..kwa hiyo jipatie nakala yako mapema
Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,621 Reaction score 4,312 Dec 23, 2011 #2 Marry Christmas and happy new 2012!
V Victor Jeremiah Member Joined Oct 17, 2011 Posts 80 Reaction score 16 Dec 23, 2011 #3 me nafikiri ana malengo mazuri tu! Tumpe nafac apige kazi, ni waziri mchapa kazi
Chatumkali JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,037 Reaction score 459 Dec 23, 2011 #4 Jamaa ni kichwa na anapiga kazi si mchezo!Ila bado ana ka uoga flani hivi.
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,955 Reaction score 22,410 Dec 23, 2011 #5
Gosbertgoodluck JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 2,855 Reaction score 405 Dec 24, 2011 #6 Mzee mijisifa akiwa kazini! Nadhani anawaambia waandishi wa habari kimoyomoyo kwamba 'mtaishia kunawa tu'.
Mzee mijisifa akiwa kazini! Nadhani anawaambia waandishi wa habari kimoyomoyo kwamba 'mtaishia kunawa tu'.
Adrian Stepp R I P Joined Jul 1, 2011 Posts 2,764 Reaction score 2,608 Dec 24, 2011 #7 Gosbertgoodluck said: Mzee mijisifa akiwa kazini! Nadhani anawaambia waandishi wa habari kimoyomoyo kwamba 'mtaishia kunawa tu'. Click to expand... ha ha ha yani wewe!! ujue nilikuepo af nikaondoka! dah
Gosbertgoodluck said: Mzee mijisifa akiwa kazini! Nadhani anawaambia waandishi wa habari kimoyomoyo kwamba 'mtaishia kunawa tu'. Click to expand... ha ha ha yani wewe!! ujue nilikuepo af nikaondoka! dah