Mti unaotoa hilo tunda anaufahamu mheshimiwa TIQO, ameuweka kwenye avatar yake.Dini mbali mbali zinasema kua Hawa alikula tunda,
na akamshawishi Adam kula tunda pia, Adam akala,
na baadae wakafukuzwa kotoka bustani la Eden
wakaja huku duniani.
Ilikua vigumu kwangu kuelewa kwanini "kula tunda"
kunaweza kusababisha watu kufukuzwa mbinguni
ili waje wateseke duniani.
Sasa picha ya tunda lenyewe imepatikana...
nimeelewa what a freak Eve must have been...
L & G, meet the PASTEQUIZZI from central america
hahahahaView attachment 67886
Ati nini?mbona tunda lenyewe lile halipo hicho ni kisu cha kukatia hilo tunda
Ati nini?
Dini mbali mbali zinasema kua Hawa alikula tunda,
na akamshawishi Adam kula tunda pia, Adam akala,
na baadae wakafukuzwa kotoka bustani la Eden
wakaja huku duniani.
Ilikua vigumu kwangu kuelewa kwanini "kula tunda"
kunaweza kusababisha watu kufukuzwa mbinguni
ili waje wateseke duniani.
Sasa picha ya tunda lenyewe imepatikana...
nimeelewa what a freak Eve must have been...
L & G, meet the PASTEQUIZZI from central america
hahahahaView attachment 67886
be a great thinker kidogo, utaielewa maana yake!Siyo busara hata kidogo kupindisha ukweli kwa mgongo wa vitabu vya dini. Tuambie ni kitabu gani hicho kinachosema ttunda ni hilo na kwamba kabla Adam na Eve walikuwa mbinguni? Ni wapi pia umejifunza kwamba Bustani ya Edeni iko central America.