Jamani is so true nimesikia from reliable source kuwa ni mlokole and for your info also married woman. Sijui ni maadili gani anafundisha jamii ya kupose uchi in public.
kapendeza bwana mpe maksi yake,sie waafrica na misosi yetu ukiwaambia wengi wa wadada,mama na wake za watu humu wavae kama yeye alivyovaa unaweza pata nightmare mnh!:A S 13:
Kama wantanzania tumefikia hatua hii ya kujiuza huko kwa wenzetu kisa pesa basi sasa tumekwisha......jamani eti ni mtz haya yetu macho.ama kweli huyu ni mtangaza biashara ya mwili tu