picha ya siku

picha ya siku

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
2B3C676E00000578-3192422-image-m-70_1439217296970.jpg
[h=1]Is the world's most scenic highway? China unveils new seven mile road that's built in the middle of a river valley[/h]
 
Duh.........lingejengwa Tanzania hilo msimu wote huu wa kampeni CCM wangefanyia hapo......wenzetu wapo masafa ya mbali sana kulinganisha na sisi.
 
Na ndiyo maana rais wao ameongeza muda wa kufanya kazi badala ya muda wa kulala, saa 0500hrs uwe ofcn that's why tunaona vitu kama hivyo #CHINA hiyo #FOUR E, Tanzania tutabaki kuuza pembe za ndovu tu.
 
hapo hamna kitu, umeshaliona la kigamboni? subiri jingine litaanzania masaki mpaka sarenda briji
 
Kwa Tanzania Tutabaki kuangalia kwenye picha tuu..hapa Dar msongamano tu wameushindwa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom