Warren.T
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 900
- 318
Miaka zaidi ya hamsini ya uhuru,taswira katika hospital zetu!!.....Tumelala, tuko busy kuzaliana ila hatuko tayari kupanua miundombinu yetu,tunawaza tu kuibiana,rushwa,ufisadi,ubinafsi na kila mtu anawaza kutoka kivyake hakuna mtu ambae anaweka maslahi ya taifa mbele!!