englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
englibertm;1149068raids ais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kwa simu nma msanii Idris Sultani said:Embu wahusika mnunulieni rais viatu pls amwoni hiyo soli ilivyoisha
Embu wahusika mnunulieni rais viatu pls amwoni hiyo soli ilivyoisha
Dah kweli aisee ila najiuliza huyu jamaa anatembea sa,ngapi mpaka soli ya kiatu iishe kiasi kile.
Anatembea usiku
Dah kweli aisee ila najiuliza huyu jamaa anatembea sa,ngapi mpaka soli ya kiatu iishe kiasi kile.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kwa simu nma msanii Idris Sultani, mshindi wa shindano la mwaka huu la Televisheni la Big Brother Africa wakati alipokuwa na msanii Naseeb Abdul Diamond aliyemuonesha tuzo tano za muziki za kimataifa alizoshinda mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 23, 2014.
Anafanya safari za wapi !?
Dah kweli aisee ila najiuliza huyu jamaa anatembea sa,ngapi mpaka soli ya kiatu iishe kiasi kile.