Picha ya siku

niliiona coco beach hii
 
Wanapojenga haya makitu marefu na ya ajabu ajabu hivi bahari huwa wanaikausha kwanza au inakuwaje wandugu?
 
Wanapojenga haya makitu marefu na ya ajabu ajabu hivi bahari huwa wanaikausha kwanza au inakuwaje wandugu?

kuna siku nilikuwa naangalia discover channel hawa jamaa ni nouma sana mkuu wanamwaga feza acha mchezo .
.
.
alafu yeye mwarabu hafanyi kazi yeyote wazungu na wahindi ndio wanawajibika
 
Safi sana na mie nakuunga mkono kwa kuweka za hapa bongo...

Lake Victoria Resorts Lake Victoria Resorts Mwanza Lake Victoria Sumbawanga L. Vic Mwanza Lake Victoria Mwanza Border ya TZ na Zambia Lake Tanganyika Rock City Mwanza Hii resort iko Uganda
 
[h=3]World's Biggest and Expensive Hotel( Beirut Lebanon)[/h]
[h=3][/h]





mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…