Picha ya siku

Picha ya siku

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
10301511_525226750915035_6060418289805338542_n.jpg


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Dkt. Shukuru Kawambwa (kulia) na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontario.. —
 
Hivi ni macho yangu au naona kama sukuru na mtanga wa comedy wanafanana au ni ndugu
 
Uzuri wa JK hutambua kuwa PhD anazopata Ni za hewa tu hajazisotea darasani ama Kwa kuandika. Alishalisema kwenye mahafari ya kutunukiwa PhD ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pale Mlimani City November 20, 2011.
Hongera zake Kwa kujaza picha na shahada za HESHIMA kwenye kumbukumbu zake. Itakuwa Ni sehemu ya Makumbusho atakapokuwa ametoweka.
 
mbona mabodigadi hawapo, au walibaki hotelini! kweli nchi za wenzetu zina amani, tizama hata hiyo nyumba milango yake haina magirili kama za kwetu, yaani no vibaka full amani.
 
Mwishoni tutasikia ana degree 22 kama nyerere
 
Back
Top Bottom