englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Mwalimu Julius Nyerere akimpokea Mheshimiwa Abeid Aman Karume katika kiwanja cha ndege cha Dar Es Salaam mwaka 1965.
Viongozi hawa walikutana mara nyingi sana kujadili masuala yanayohusu maendeleo ya watu wao.