englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,209
belgiumWapi hiyo?
belgium
Kumbe pazuri ivo sijui kwan sis wangu anapachukia eti anasema pachafu sijui kweli
Huku sasa ukiambiwa dont drink and drive unaelewa hata kama yameandikwa kwa herufi ndogo
Sista wako mtata tu si alikulapua kofi kabla hata hujamalizia ndoto yako tamu kisa uli moarn!!!!!
How hebu fafanua zaid
How hebu fafanua zaid
Mkuu anamaanisha hivi, ukipata ajali kwenye barabara hiyo ni ajali kweli!
Sababu unajua wazi ukipitiliza na gari kutoka hapo juu mpaka chini hata shahada hutoi na watakuta umejikafini kabisaaaaa!!!!
Ile siwezi sahau as niki imagine tu nacheka
Kumbe pazuri ivo sijui kwan sis wangu anapachukia eti anasema pachafu sijui kweli